Naomba kukana kutumika kwa hii tathmini yangu ninayoenda kuisema hapa bali ni kwa uhuru wangu wa kutoa maoni na utimamu wangu wa kuweza kuona na kutambua mema na mabaya.
Ni hivi wakuu, mimi kwa ufatiliaji wangu wa utendaji kazi wa RC Makonda tangu aanze majukumu yake km Mkuu Wa Mkoa wa Arusha...