Kimsingi Mahakama ndiyo chombo pekee na cha mwisho cha utoaji haki katika Jamhuri ya Muugano wa Tanzania kama ilinavyoainishwa katika Ibara ya 107 (A) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 kama ilivyofanyiwa marekebisho mara kwa mara.
Ibara ya 13(6) (b) ya Katiba ya Jamhuri ya...