Wanaume wenzagu tuweni makini sana na hawa viumbe.
Huko kwenye viwanja vya starehe kunatisha, wanawake wanakunywa pombe kali, wanavuta bangi, sigara, shisha nk,
Hapohapo kuna wale wa mitaani ambao wakiwa bado wabichi wanaringa sababu wanataka kuonja onja pesa za wanaume wengi.
Sasa hawa...
MWANAMKE LAZIMA ABADILI DINI NA IMANI ILI IFANANE NA YAKO NDIPO UMUOE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya ishara za awali Kwa Mwanamke anayekupenda na anayeweza kuwa Mkeo ni kukuamini, na kuamini Kwa kile ukifanyacho na kile unachokiamini. Kwa Mwanamke Hisia na Imani vinaenda sambamba...
Elimu ya nyota/Unajimu (Astrology) ni elimu kama zilivyo elimu nyingine japo wapo wanaoihusianisha na imani za giza lakini fikra hio nafikiri ni potofu.Unajimu ni uhusiano wa nyota na maisha ya binadamu.Hasa hasa tunaangalia mahusiano ya wakati wa kuzaliwa na sayari zilizopo katika mfumo wa jua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.