umwagiliaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni mkoa gani Tanzania kinafanyika kilimo Cha umwagiliaji?

    Kama unataka Mali basi utaipata shambani, Mimi nimeamua kuunga juhudi nikashinde na kuteketea shambani huko labda tutatokea huko, nilichogundua biashara sio kwa ajili ya Kila mtu huko competition+uchawi ni mkubwa. Mtaji wa kilimo kianzio kama million 5 upo, nataka nilime kwa kutegemea...
  2. Miradi ya umwagiliaji ya awamu ya sita ni ya ubabaishaji

    Rais wa awamu ya sita aliahidi kuwa ana lengo la kuweka ekari 500,000 chini ya umwagiliaji. Ni mpango mzuri sana. Ila utekelezaji wake ni kichekesho sana. Nasema hivyo sababu wamejikita zaidi kwenye umwagiliaji wa matone na visima. Umwagiliaji huu hauwezi kutufikisha popote katika kilimo...
  3. S

    SoC03 Kilimo cha umwagiliaji Tanzania

    Tanzania ni nchi ambayo imebarikiwa vyanzo vingi vya maji na ardhi kubwa na yenye rutuba Kutokana na ufinyu wa ajira juu ya vijana wetu waliomaliza vyuo na kubaki majumbani wakisubiri ajira, serikali kupitia wizara yake ya kilimo ingetumia nguvu kubwa juu ya vijana kujikita katika kilimo cha...
  4. K

    SoC03 Kilimo cha umwagiliaji kwa Kanda ya Ziwa kitachochea upatikanaji wa chakula cha kutosha

    Kutokana na kutokuwa na mvua za uhakika na za wakati kwa baadhi ya maeneo hapa inchi imepelekea maisha ya wananchi wengi hasa vijijini kuwa magumu kwa sababu tegemeo lao kubwa ni kilimo cha mazao ya chakula au biashara, ambacho pia ndio tegemeo lao la kukomboa familia zao kiuchumi, elimu, Afya...
  5. Serikali Ifanye Usanifu wa Mabonde ya Umwagiliaji Ifakara

    MBUNGE ABUBAKAR ASENGA ATAKA SERIKALI IFANYE USANIFU MABONDE YA UMWAGILIAJI YA IFAKARA Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mkoani Morogoro, Abubakar Asenga katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni tarehe 13 Juni, 2023 ameiomba Serikali kuyaangalia Mabonde ya Umwagiliaji Ifakara "Je, lini Serikali...
  6. J

    SoC03 Kilimo cha kisasa Tanzania

    Tanzania ni moja ya nchi zenye kilimo kikubwa barani Afrika na inachukuwa kama nguzo moja wapo ya uchumi wa nchi.Takribani asilimia 75 ya Watanzania wanajishughulisha na kilimo kinachotegemea mvua.Mazao yanayo limwa nchini ni pamoja na mahindi,mpunga,maharage,nyanya,viazi,mboga mboga matunda...
  7. M

    Ukodishaji wa mashamba kwaajili ya kilimo Dakawa na bei zake

    Wakuu tafadhali Kama kuna mtu anajua mashamba ya kukodi kwaajili ya kilimo mwaka huu maeneo Dakawa naomba kujuzwa @whats app no 0629931610 Kama unajua kuhusu au unakodisha tafadhali wasiliana na mim kwa namba hiyo juu
  8. Skimu ya Umwagiliaji ya Mwamapuli Iliyopo Mpimbwe, Katavi Kujengwa Mwaka wa Fedha 2023/2024

    MBUNGE MARTHA FESTO AHOJI UJENZI WA SKIMU YA MWAMAPULI HALMASHAURI YA MPIMBWE Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma Martha Festo alielekeza swali Wizara ya Kilimo kutaka kujua ni lini Skimu ya Umwagiliaji ya Mwamapuli itaanza kujengwa katika Halmashauri ya Mpimbwe "Je, ni...
  9. Musoma Vijijini Kuandika Historia Kupitia Kilimo Kikubwa cha Umwagiliaji

    BONDE la Bugwema na Bonde la Suguti yaliyopo katika Jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara yako kwenye bajeti ya Wizara ya Kilimo ya mwaka 2023/2024 iliyopitishwa na Bunge siku ya Mei 9, 2023 ili kuwezesha kilimo cha umwagiliaji kufanyika jimboni humo. Hayo yamebainishwa na Mbunge wa Jimbo la...
  10. P

    Kilimo cha umwagiliaji kwa maji ya maziwa

    Tanzania imezungukwa na maziwa makubwa yenye maji mengi kama vile ziwa Victoria , ziwa Tanganyika, Ziwa nyasa nk. Mara kwa mara viongozi wetu wamesikika wakisema tutumie maziwa haya kwa kilimo cha umwagiliaji, na wakati mwingine watu hujishangaa kwa nini maji haya hayatumiki kwa umwagiliaji...
  11. P

    Kilimo cha umwagiliaji

    Mkoa wa Morogoro umepatiwa bilioni 16 kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ya umwagiliaji na ya kuhifadhi mazao. Hii itasaidia kukuza shughuli za kilimo mkoani humo na kuongeza uhakika wa upatikanaji wa chakula. Lengo la Serikali ni kuhakikisha upatikanaji wa chakula cha kutosha katika kipindi...
  12. M

    Ninauza shamba zuri la umwagiliaji ekari 20 Londoto - Simanjiro

    Nauza shamba langu zuri la umwagiliaji lipo wilaya ya Simanjiro, msitu wa tembo - Londoto. Shamba ni nzuri sana lililojaa rutuba, karibu sana kwa yeyote anayehitaji, bei ni mil 60 mazungumzo kidogo yapo, mimi ndiye mwenye shamba. Karibuni sana.
  13. B

    Rais Samia Hassan kufufua Mradi Mkubwa wa Kilimo Umwagiliaji wa Bugwema, Mkoani Mara

    SERIKALI YARIDHIA KUFUFUA MRADI MKUBWA WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI BONDE LA BUGWEMA *Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikusudia kuanzisha kilimo kikubwa cha umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema. Hii ilikuwa mwanzoni mwa miaka ya 70. *Bonde la Bugwena ni kubwa mno. Eneo...
  14. Special thread: Umwagiliaji moyo

    Unamwagilia moyo ukiwa wapi? Na maji yepi/kinywaji kipi? Let it be liquor. Lite ama Windhoek. Wine ama beer. Ngumu ama laini. Kama kuna namna yeyote wamwagilia moyo share nasi. Share nasi. I do smoke, I do drink just to get lost in time. Thinking. Stratergzn.
  15. N

    Bilioni 27 kujenga bwawa la umwagiliaji Mpwapwa!

    Source: ITV habari (saa 2 usiku). Mama, M/Mungu akutilie wepesi kwenye kila mnalolipanga.......hakika unajitahidi kuupiga mwendo. Vitendo vitasema vyenyewe baadae!
  16. H

    SoC02 Mkakati wa kutoka katika kilimo cha asili kwenda kilimo Cha kisasa Cha umwagiliaji

    Kwanza natoa shukurani zangu nyingi sana kwa kupata nafursa ya kutoa mawazo yangu kuhusu kilimo Tanzania. Wakulima wamelima kwa muda mrefu sana kwa lengo la kuuza mazao yao na kupata chakula na ziada kidogo ya mazao inayopatikana huuzwa kwa kupata fedha za matumizi ya kilasiku. Uhalisia ni...
  17. Serikali iwekeze kwenye umwagiliaji na mbegu zinazostahimili ukame

    Sasa hivi kuna changamoto kubwa ya uhaba wa mvua au mabadiliko ya tabia nchi. Serikali iwekeze kwenye kilimo cha umwagiliaji cha kisasa kinachotumia maji machache katika mashamba makubwa kwenye mikoa na wilaya ambazo zinafaa kwa umwagiliaji. Wananchi/vijana wapewe maeneo walime kwa kumwagilia...
  18. I

    SoC02 Kilimo cha umwagiliaji hakikwepeki!

    Nchini Tanzania idadi kubwa ya wakazi wake wanajihusisha na shughuli za kilimo hali inayoifanya sekta hii kuwa uti wa mgongo kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Mchango wa Kilimo kwa Uchumi Kilimo kimeendelea kuwa miongoni mwa sekta ambazo zimekuwa na mchangi mkubwa kwa pato la...
  19. M

    Tuwekane wazi kilimo chenye tija ni cha umwagiliaji

    Wasalamu ndugu zangu, km ambavyo kichwa cha uzi kinajieleza miaka ya nyuma kabisa nilikua mpenzi wa kufuatilia nyuzi mbalimbali zinahusu kilimo katika jukwaa hili. Nyuzi nyingi zimeandikwa katika upande wa mafanikio tu na kusahau changamoto ambazo ndizo zinamfanya mkulima aamue vyema. Baada ya...
  20. Wazo la Kujenga mabwawa kila kata linaweza kutuvusha kwenye kilimo cha umwagiliaji

    Wana JF Kuna wakati fulani mtu alikuja na wazo la kujenga mabwawa kila wilaya lakini kiuhalisia kuna wilaya kubwa sana zinakaribia kuitwa mkoa kutokana na ukubwa wa eneo lakini wakazi wachache. Naona hili linaweza kufeli na serikali isipate kinachokusudiwa. Ili kuwa na kilimo chenye tija...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…