Habari zenu wakuu,
Binafsi kilomo kwangu kipo damuni hio inatokana kwanza Mimi ni mzaliwa wa morogoro lakini kubwa zaidi ni mtoto wa mkulima lakini hio haijanifanya kuwa mkulima Bora.
So nipo mbele yenu wakuu naomba msaada wa kimawazo, kule kwetu moro tunalima mazao mengi Sana ya umwagiliaji...