unacheza pool na mabasha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Ni wimbo gani ule una mstari mmoja unasema, "Unacheza pool na mabasha"?

    Kama kichwa kinavyosema, nimeukumbuka huo mstari ila nimesahau ulikuwa kwenye wimbo gani na wa msanii gani. Ni wimbo wa bongo fleva wa enzi zile za golden age of Bongo Fleva kabla ya zama za Diamond. Anayekumbuka naomba anitajie.
Back
Top Bottom