unafuu wa maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ezra cypher

    Vijana wote iwe Chadema au Ccm wanakimbilia siasa ili kutafuta unafuu wa maisha .

    Huyu jamaa anajiita Mdude . Kwanza hana Elimu ya darasani , pili haelewi Kwa kina kuhusu siasa. Muda anaoutumia mitandaoni kuponda na kubeza wanasiasa bora angeutumia kuboresha Kazi zake za ufundi wa Simu na computer. Hao akina Mwambukusi sio wenzake hao wana Elimu kubwa Sana na wamempita...
  2. G

    Gharama nafuu sio unafuu wa maisha, heri mji wenye gharama kubwa utazoweza kumudu kuliko mji wenye gharama nafuu utazosota kumudu

    Kigezo cha kusema kwamba sehemu ina maisha nafuu kwasababu vitu vyake ni gharama nafuu ni dhaifu with a few exceptions. Kila mkoa / nchi ina system yake kwenye matumizi na kipato, ni jambo la kuzingatia sana hasa kwa wale wanaojitafuta. Unaweza kuwa sehemu kama Mbeya, ni mkoa unaosifika kwa...
  3. Mwizukulu mgikuru

    Ewe mnyonge, kuwachukia matajiri hakukupi unafuu wa maisha

    Wengi wao wanaotamani utawala kama wa mwendazake urudi tena kwa mara nyingine ni wale waliokuwa wamebatizwa jina la "wanyonge"😀😀😀 Na hawa wengi wao wanawachukia sana matajiri, hutamani kuona tajiri akifirisika na kuwa kama wao. Na wengi wao wanatamani utawala kama ule wa mwendazake ili matajiri...
  4. Ofisho mlinzi

    Unafuu wa maisha na ugumu wa maisha ya Mtanzania huletwa na yeye mwenyewe

    Awali ya yote niwasalimu ndugu na wadau wa jamii forum ,pili nikushukuru wewe unaelisoma andiko hili tatu na mwisho nikuombe wewe ikiwa unaguswa na haya basi tumia nafasi ulio nayo bila kupima udogo ama ukubwa wake kuisaidia jamii yetu ipate kuwa na ufahamu amabao utasadia miongoni mwa wengi...
  5. B

    Bora Fisadi Aliyeleta Unafuu wa Maisha kwa Watu Kuliko Mwadilifu Ambaye Kila Siku Watu Wanalia Ugumu wa Maisha.

    Enzi hizo zinazodaiwa za ufisadi: -maisha yalikuwa rahisi -hakukuwa na mfumko wa bei -dola zilikuwepo za kutosha tena kwa bei inayojulikana -watu wengi walijenga -ajira zilikuwepo za kutosha -miundombinu mingi ilijengwa zikiwemo barabara tena kwa kiwango cha lami -shule nyingi za kata zilijengwa...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Watanzania hawatapata unafuu wa maisha milele

    Hello! Ninaposema Watanzania namaanisha majority ya Watanzania nikiwaondoa watu wachache sana. Hawa majority walipata taabu sana, wanapata taabu sana na watapata taabu sana. Babu zao walipata taabu sana kubeba mizigo bandarini na kufanya shughuli zingine ngumu ili wale na wajenge nyumba za...
  7. Mboka man

    Asilimia kubwa wanawake wanaingia katika mahusiano na ndoa kutafuta unafuu wa maisha

    Huu ndo ukweli wanawake walio wengi wanaingia katika mahusiano au ndoa kutafuta angalau unafuu wa maisha. Katika mahusiano na ndoa wanawake wengi hutumia kama opportunity chance ya kupunguza shida zao ndogo ndogo kupitia mwanaume kwa sababu wanachoamini mwanaume kazi yake ni kumuhudumia...
  8. britanicca

    Asante Rais Samia, Ila ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi

    Tunamshukuru sana Rais Kwa Miaka 7 ongezeko la mshahara linekuwa leo tena Kwa asilimia 23 kuzidi nchi nyingi zilizo tu zunguka Asante Rais wetu.Ila Ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha Kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi kwa ukweli kwamba wanafanyakazi hao wa...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Kuchelewa Kuoa hakukufanyi ufanikiwe au uwe na unafuu wa Maisha

    KUCHELEWA KUOA HAKUKUFANYI UFANIKIWE AU UWE NA UNAFUU WA MAISHA! Anaandika Robert Heriel. Kwa kijana isipungue miaka 25 wala isizidi 33. OA mapema. Usikawie. Hakuna kitu kizuri kwenye maisha Kama Familia yako. Wewe, Mkeo na watoto. Chelewa kupata yote usichelewe kuoa au kuolewa. Lazima...
  10. EIFFEL

    Asilimia kubwa ya wanawake wanaolewa kutafuta unafuu wa Maisha

    Habari za muda. Polen na majukum ya kujenga Taifa, kwa sisi tuliolala, tutawasaidia kupaka rangi huko mbelen, maisha yanaenda. Back to the Topic. Iko hivi, naleta huu uzi kutokana na uzoefu nliopata mimi binafsi na kwa watu walionzunguka, jamii. Nimenotice kitu cha kushangaza sana, kwa hii...
Back
Top Bottom