unakumbuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nomadix

    Expiration date za bidhaa

    Wakuu niaje. Umewahi kutumia kitu, baada ya kukitumia ukagundua kimeexpire. Ulitumia kitu gani? Ulichukua hatua gani baada kujua? Nini kilifanya mpaka ikawa hivyo? Ulijisahau! au ilikuaje.
  2. Camilo Cienfuegos

    Unakumbuka nini kuhusu Ukumbi wa Diamond Jubilee?

    Kwa wakongwe, hebu njooni tukumbushane ukumbi maarufu wa kufanyika kwa matukio makubwa miaka. Ukumbi huo ni Diamond Jubilee, unakumbuka nini kuhusiana na ukumbi huo? Shea nasi
  3. THE FIRST BORN

    We shabiki wa Simba unaemtukana Chasambi unakumbuka issue ya Gerrad 2014?

    Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious? Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
  4. D

    Unakumbuka matokeo ya mechi gani yaliyokuachia kumbukumbu isiyofutika kichwani?

    Mimi nakumbuka hii hapa. Siku hii tukiwa na ma fans wa Germany, baada ya matokeo, Pombe zilinyweka kuanzia saa 6 usiku huo Hadi kesho yake saa 6 usiku. (Mengine sisemi). Toka siku hiyo sijwahi kunywa tena kiasi kile. Huko Brazil nako Serikali ikatangaza maombolezo ya kitaifa 😂😂 Kwa kifupi...
  5. Nomadix

    Tukio gani ulishawahi kufanya ukajiona mshamba sana?

    Habari wakuu Mara ya kwanza kujiunga na huduma za kibenki nilienda kwenye tawi la benki wakanisajili ikafika mda wa kufanya kadi iwe active. Nimeenda kwenye ATM na yule mhudumu akaiweka kadi ndani ya ATM ananiambia chagua lugha, me hapo hata sijui wanabonyeza wapi, akanionesha zile button za...
  6. R

    Lissu, Leo Dkt. Slaa ni rafiki yako, unakuwa mwepesi wa kusahau au ni unafiki kwa vile alikuunga mkono dhidi ya Mbowe? Jikumbushe kidogo

    Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli? - Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
  7. Braza Kede

    Unakumbuka visa vya wamba hawa lodilofa madenge ndumilakuwili cmrd kipepe dr love pimbi zena & betina

    Hawa wamba ndio walikuwa wakileta burdani sana enzi hizo hamna Facebook Instagram Tiktok wala Youtube. Unavyokaribia mwanzo wa mwaka mnasubiri kwa hamu toleo la jarida jipya lililobeba katuni zilizojaa visa na vitimbi vya hao wamba. Mwanzo wa mwaka kama hivi jarida linakuwa tayari limeshatoka...
  8. Mwachiluwi

    Unakumbuka nini ukiona hii picha na ulikuwa mwaka gani

    Tuadhie vitoto vya 2000 huyu jamaa alikuwa anaitwa nani na mambo yake yalikuwaje😂😂😂😂
  9. B

    Ni experience gani? umepitia kwenye nyumba za wapangaji wengi unakumbuka nini?

    👉Nakumbuka wazee wa kuzama viwanja kurudi geto satisa watu wote wamelala😅Kila mtu ana Goma kufungua kuhofia usalama 👉Ukichelewa kuamka asubuhi bafuni foleni 👉Mwenye zamu ya umeme kuwashindisha bila umeme siku nzima 👉Jumapili lazima uwahi kufua ili upate kamba ya kuanika nguo 👉Kuazima Pasi kwa...
  10. B

    Unaposikia nyimbo ya nguva viking na papii kocha unakumbuka wapi "seya" ?

    Ebana daah hii Kila inapopigwa nakumbuka tu Ile style ya suti bwanga, mkoti mkubwa🤣na wanchoma kumoyo, umenyoa afro fulani hivi. Zile chupa bia zilikuwa kubwa kubwa kishenzi "ilikua ikifika siku za siku kuuu" Kuna ule mstari. Anakwambia "Ata mvua ikinyesha Leo seya lazima tutoke leo"...
  11. W

    Huwa unakumbuka Kuscan "Program" au "File" kabla ya Kudownload?

    Kabla ya kufungua jalada 'File' lolote ulilopakua 'download' au kutumiwa, kumbuka ku-scan na programu ya Antivirus ili kuhakiki kama ni salama na halina virusi au 'malware'. Pia, kumbuka kupakua programu au File kutoka vyanzo vinavyoaminika. Kupakua programu au faili kutoka tovuti...
  12. Money Penny

    Unakumbuka ulivyokuwa bikra ulikuwaje?

    Nimekumbushwa mbali Nimeulizwa kama nakumbuka ulivyokuwa bikra ulikuwaje? Eti na wewe ulivyokuwaga bikra ulikuwaje? Je unamiss kurudi kuwa bikra au ukae hapo hapo?
  13. Brojust

    Watu wote hapa ambao hawaamini kama Mungu yupo someni hapa

    Shalom watu wa Mungu. Moja kwa moja kwenye mada, wanasayansi na wana imani watatusaidia. Je, Uhai wako ulianza tu pale ambapo mbegu moja ya mzee wako ilipokutana na yai la mama yako ? Je ulikuwa unajitambua kwamba tayari mimi ni binadamu na ile miezi tisa wakati uko tumboni ulikuwa unahisi...
  14. Black Butterfly

    Unakumbuka nini ukiona picha za Programu hizi? (Nero, Ashampoo, JetAudio na Window Media Player)

    Programu kama Nero Burner na Ashampoo Burning zilitumiwa sana nyakati za zamani kwa kuchoma CD na DVD, kujenga na kuhariri video na muziki. Windows Media Player na JetAudio pia zilikuwa maarufu kwa kucheza na kusimamia faili za media. Hizi zilikuwa sehemu muhimu ya vifaa vya programu za zamani...
  15. TUKANA UONE

    Unakumbuka nini kuanzia Mwaka 1998 hadi 2000?

    Mimi binafsi nimezaliwa mwaka 1988 wakati ambao Tanganyika & Zanzibar zilikuwa kwenye muungano uliozaa Tanzania. Wiki ikiyopita niliamua kujipa likizo binafsi,kwakuwa ninafanya kazi nyingi kwa takribani mwaka mzima bila kupumzika,nikaona huu ni muda muafaka wa kuipumzisha akili! Hivi sasa...
  16. JanguKamaJangu

    Unakumbuka nini kuhusu Wimbo wa TATHMINI wa Profesa Jay na Jay Moe?

    [Verse 1 – Professor Jay] Naahidi kuwa makini mpaka siku nafukiwa chini Na Mungu aliye hai bado yu pamoja na mimi Emcee shika vizuri karibu tawi linakatika Na kwa wote mliopo juu na chini sauti itafika Kazi na dawa ndani ya uswazi kazi ni kazi Na nipo radhi kutoa tathmini ngazi kwa ngazi Rap si...
  17. Nehemia Kilave

    Unakumbuka na kujifunza nini ukipitia Upya hii List of Shame ya Mwembeyanga baada ya miaka 17?

    VIONGOZI WA UMMA WALIOKO KATIKA ORODHA HII WAMEKIUKA NA/AU KUVUNJA MASHARTI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO (KWA HISANI YA WEBSITE YA CHADEMA) kwa sasa tamko halipo . http://www.chadema.or.tz/tamko/tamko.php?id=16&pg=110 KANUNI/ VIGEZO VILIVYOTUMIKA A. USHIRIKI WA MOJA KWA MOJA KATIKA VITENDO...
  18. KING MIDAS

    Hivi unakumbuka kwanini P Funk aliwahi mchapa vibao Afande Sele?

    VISA na MIKASA SIKU P FUNK alipomchapa Makofi AFANDE SELE… Turudi nyuma kidogo, Miaka zaidi ya 18 iliyopita na Ilikuwa ni kipindi kifupi tangu P funk aanze kufanya kazi na Afande. P anasema miezi kama miwili nyuma ya siku hiyo ya tukio alikuwa na Sele, alimpatia wimbo mmoja na sele akaahidi...
  19. THE FIRST BORN

    Kuwa Msemaji Simba ni kazi kweli unajihami, ghafla unakumbuka huna uwezo unaanza kuomba support

    Kuisemea Team ambayo haina uwezo ni kazi jamani nyie achen Mtu unajitamba Jumamos tunaenda kumaliza kazi Mashabiki Njooni.. Mnyama Robo anatinga,ghafla Akili inarudi inakwambia huo uwezo huna,Team lako goigoi... unaanza kuomba Support ya Mashabiki tena onhoo hili hatuwez sisi na Mo na Mangungu...
  20. Ghost MVP

    Unakumbuka Mchezo gani ukiwa Mtoto?

    Nikiwa mtoto bhana, Nilikuwa napenda sana michezo, moja ya mchezo ni Kuendesha lingi, Kuwinda ndege kwa manati. Kuna ile Unatengeneza gari la mbao na mipira inakuwa kama spring na unaweka kamba mbele na mti inakata hadi kona, na kukata malapa (Kanda Mbili) kama matairi Kingine bhana Niliwahi...
Back
Top Bottom