unalipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Je? Kati ya umeme wa magari na umeme wa majumbani ni upi unalipa vizuri katika kujiajiri au kuajiriwa?

    Habarini wana jukwaa? poleni na majukumu. kama inavyosemeka kwa thread. Nataka kwenda veta kusomea kozi ndefu ya ufundi umeme kwahyo naombeni mnisaidie kimawazo ni umeme upi unalipa vzur sana sinto lala njaa kama nikibobea katika ufundi huo? Kuhusu kiwango cha elimu nina elimu ya form four...
  2. yassird200

    Umachinga mikoani unalipa pia

    Habari za zenu wana JF. Leo nimeona ni share experience yangu hapo nyuma. Binafsi nimeajiriwa but private sector, baada ya kuhitimu elimu ya juu nilihangaika sana kwani nilihisi elimu yangu ingenisaidia. Lakini nikuja kugundua this TZ. Yeah, nilianza hustle za umachinga 2020/2023. Mwanzo...
  3. G

    Huu umati anao ukusanya mwamposa ata wakiungana wasanii wa TZ nzima hawawezi, Unabii unalipa !!

  4. D

    TANESCO lini watakuwa na akili? Unalipa kuunganishiwa tangia jana mpk sahz hakuna ht uthibitisho wa malipo

    Nilijisajili kuunganishiwa umeme ikiwa ni kuletewa nguzo 2. Nikatumiwa control number ya malipo baada ya kufanya survey kuwa nitume Tsh 697,000/=. Mpaka muda huu ujumbe ni ule wa mwanzo tu kuwa malipo yako yanashughulikiwa na utapokea ujumbe mfupi kuthibitisha malipo yako. Siku ya 2 hakuna...
  5. Eli Cohen

    Kuwa makini na vijisenti vyako, unatongoza tongoza hovyo, unaishia kuwekwa mtu kati unalipa fidia ya ugoni.

    unaweza kuchukulia poa ila ukweli ni kwamba bwana na mke wake wanaweza panga njama za kula pesa zako. Hizi ishu zimeishafanyika sana sema tu huwa ni chini chini mtaani. Bwana anajua unatembea na mke wake alafu na yeye akiangalia hali yake apechi alolo na pesa ya kulipa mabaunsa wakufumue choo...
  6. nzalendo

    Aisee! Ulokole unalipa

    Kwa kifupi... niliingia humo muda si mrefu... Lakini ni wazi, pasi na shaka ya aina yoyote kuna faida nyingi mno. Kiuchumi: Baada ya kutenga sadaka, pesa inayobaki inaniwezesha kukidhi mahitaji. Yaani, inakutana na hesabu ya mwezi unaofuata. Kijamii: Heshima inakuja hata kutoka kwa wale ambao...
  7. C

    Ireland, Spain and Norway leo hii wameanza kutambua state ya Palestine kama nchi kamili

    Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka. Tena kibaya zaidi Rais wa Norway amesema Nyatanyahu ikija Norway atakamatwa na kupelekwa ICC, hili ni pigo kubwa kwa Israel.
  8. K

    Je, ufundi wa pikipiki unalipa?

    Wakuu Kuna kijana wangu nataka nimpeleke ajifunze ufundi wa pikipiki je unalipa?
  9. Ramoth Gilead Appliances

    Tunauza na kufunga AC unalipa baada ya kufungiwa

    karibuni
  10. Erythrocyte

    Agha Khan kufanya upasuaji wa kurekebisha maumbile bure kwa wanawake 25

    Lakini kwanini mambo haya yamekuja ghafla hivi? Taarifa kamili hii hapa. ===== Hospitali ya Aga Khan kwa kushirikiana na Shirika la Reconstructing Women International (RWI) na Hospitali ya Taifa Muhimbili, inatarajia kufanya upasuaji kurekebisha maumbile kwa wanawake na wasichana 25 kutoka...
  11. Morning_star

    Serikali dharimu kwa watu wake utaiona kwa matendo yake! Unalipa 75 billion harakaharaka kwa Winshear Gold Cor, kisa heti kashinda kesi?

    Hawa viongozi tuliowaamini wana mgao! Wao ndo wanapanga fidia kiasi gani! Unakuta mlalamikaji wala hana neno na alishindwa kwenye kesi ya msingi ya kwanza! Sasa wanamwendea na kumlazimisha aifufue hiyo kesi na atashinda kwa fidia (labda tuseme 1 billion). Hawa watanzania mafisadi wanasema...
  12. Morning_star

    Serikali dhalimu ni dhalimu! Harakaharaka unalipa 75 billion fidia kwa kesi ya kimagumashi?

    Hawa viongozi tuliowaamini wana mgao! Wao ndo wanapanga fidia kiasi gani! Unakuta mlalamikaji wala hana neno na alishindwa kwenye kesi ya msingi ya kwanza! Sasa wanamwendea na kumlazimisha aifufue hiyo kesi na atashinda kwa fidia (labda tuseme 1 billion). Hawa watanzania mafisadi wanasema...
  13. Replica

    Halima Bulembo: Mikopo ya kausha damu inawakausha kwelikweli wanawake na kuwadhalilisha. Asema ukikopa elfu 50 unalipa jumla 85

    Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo amesema mikopo ya kausha damu pamoja na urahisi wake wake wa kupatikana ina gharama kubwa. Akitolea mfano, amesema mtu akikopa 50,000 anakatwa 5,000 ya fomu, 5,000 nauli ya mkaguzi kuja kukagua mali zako na marejesho ya jumla ya 75,000 hivyo jumla...
  14. M

    Kama Umaarufu unalipa nini kimemfanya Haji Manara akose Kura CCM inayohusishwa na Yanga SC Kimahusiano?

    Kazi yangu leo ni Kusoma tu Mirejesho yenu ( Comments zenu ) juu ya Jambo nililoliuliza hapo juu katika Kichwa changu cha Habari.
  15. M

    Ufugaji unalipa kuliko kilimo

    Kilimo vs ufugaji, hapa nimejifunza jambo, kilimo ni chepesi ila mafanikio yapo mbali, ufugaji ni mgumu sana ila umejaa fedha, kilimo na ufugaji kwa mikoa ya kusini ukivifanya pamoja lazima upate hela, huu ni udhoefu nilioupata field.
  16. E

    Mtumba nchi gani unalipa?

    Habari za mchana wapendwa! Moja kwa moja kwenye mada. Kwa muda mrefu nimetamani sana kufanya biashara ya kuuza mitumba lakini sijui ni mtumba toka nchi gani unalipa. Naomba kwa yeyote anayefahamu soko la mtumba anijuze nipate kuanza! Nilitamani sana nipate balo la mtumba wa watoto na wanawake...
  17. M

    Uwekezaji gani utalipa sana Tanzania?

    Kama na wadau wengine walivyoeleza idadi ya watu kwa Tanzania inakua kwa kasi sana wakati ardhi iko fixed hivyo basi kupelekea thamani ya ardhi kupanda kila uchao. Kwa maoni Yangu na analysis zangu badala ya MTU kuwekeza kwenye bond ni bora zaidi na faida kuwekeza kwenye ardhi au Real Estate...
  18. S

    Uaminifu unalipa

    Ndugu zangu niwape jambo hili ambalo limenitokea mimi mwenyewe siku kama mbili zimepita, nilikuwa napeleka mzigo kwa mteja sasa kufika kwake nikamkabidhi halafu akanipatia pesa nikaondoka nikiwa bado maeneo yaleyale nikaangalia simu yangu nikagundua mteja alishalipia ule mzigo nadhani alisahau...
Back
Top Bottom