Leo nimemkumbuka winga hatari wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania “Twiga stars” Esta Chabruma.
Huyu dada alikuwa na uwezo mkubwa sana hasa akitokea pembeni, angeweza kufunga magoli au kutoa assist maridhawa (assist) kwa wenzake kiasi cha kufananishwa uchezaji wake na Winga wa...