Valentine hiyoo inakuja usikose maua na chocolate mwambie nakupenda ili muende VALENTINE.
Usikae mwenyewe kama mshumaa umejifungia, huu uzi kwa ajili yenu.
Fungukeni mukasherekee kwa pamoja.
Sita wakumbusha tena ukiwa kwenye mahusiano na unaona ume jaribu kila njia kuresolve matatizo yenu lakini bado unaona upendo umeegemea upande mmoja au mmoja wenu ni kama hayupo tayari kuruhusu suluhu ni kheri umuache kabla ajakuacha ita kusaidia sana .
Hili naandika nikiwa na experience nalo...
Wakuu habari....
Iko hivi nimelata hiyo maada hapa juu sababu naona huyu mwanamke ana kila dalili ya kutofaa/ sio wife material kabisa.
Mimi ndiye niliyemnunulia simu na kumfungulia hizi akaunti za social media kama instagram na Facebook. Sasa huwa sina tabia ya kushika simu yake sababu...
Haya nimeulizwa huku
Kuna wale wana wapenzi wao wakati wanafanya tendo la ndoa uwa wanapenda kuongea ongea mpaka mwisho inaitwa dirty talk
Kuna wale wapenzi ambao kwenye tendo la ndoa wanakaa kimya mwanzo mwisho hata miguno hamna
Yupi unampenda zaidi?
Yupi unamkubali zaidi?
Habari wanaJF,
Naamini kwa idadi kubwa ya watu wa humu, kunaye mtu uliyewahi kumpenda na pia bado unampenda lakini kuna mambo yalitokea hadi hivi sasa haupo karibu nae au haupo nae katika mahusiano.
Je, unamkumbuka ni nani na kilitokea nini hadi hali kama hiyo ikatokea ilhali bado unampenda...
Naandika kifupi Sana kushauri juu ya utendaji wa Waziri huyu ambaye tangu akiwa naibu Waziri alionyesha kiwango cha chini Sana cha uwajibikaji. Ukipita Kila mtandao utakutana na Malalamiko ya utendaji wa vyombo vilivyo chini ya wizara ya Masauni. Umebadilisha watendaji Wakuu wa idara zilizo...
Karibuni tena kwenye kiota cha Malavidavi hapa JF, leo Mjanja M1 nina swali kwako Mdau.
Ni kweli unampenda mpenzi wako au unamuonea huruma tu?
TIRIRIKA MKUU HAKUNA ANAEKUJUA HUMU.....!
Binadamu siku zote hanaga shukran hivyo kama unampenda wee mpende tu tena mpe kila kitu ila hatutaki kelele baadae.
Wengi wamelizwa kwa kusubiri kutegemea SHUKRANI kutoka kwa wapenzi wao kutoka kwa WATOTO wao kutoka kwa MARAFIKI zao.
Hivyo basi kama unampenda wee mpende tu tena mpe kila...
It’s a culture issue (watanzania tuna matatizo), kusema unampenda mwanamke wa mwenzako nchi za wenzetu it’s a very disrespectful situation.
Ni kwa sababu tunaishi Tanzania tu; nchi nyingine utaumizwa.
Halafu kuna watu wanasifia ujinga wa Harmonize; huwezi kumuimbia mapenzi mchumba wa mtu...
Hili ni jambo nyeti sana, sometimes ni ngumu kujua je umempenda mtu au umemtamani mtu, au mtu anakupenda kweli au amekutamani tu.
Can I have your attention, kwa wale ambao wanashindwa kujua kuwa wamempenda mtu kweli au wamemtamani tu?
1. Kumpenda jinsi alivyo, no matter anamiliki nini, je ni...
Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa kuishi pamoja, kwani kuishi peke yako Kwa vijana kuna changamoto nyingi na wengi wetu hatupendi Ila...
Hili zoezi lilifanywa siku ya baba duniani Kenya, ambapo wanaume waliambiwa wawapigie simu baba zao na kuwaambia wanawapenda. Wengine walikuwa hawajawahi hata siku moja kuwaambia baba zao wanawapenda.
Uko tayari kujaribu zoezi hili? Tuambie baba yako alijibu nini ulipomwambia unampenda...
Ikiwa Leo ni siku ya wanawake duniani ningependa nichangie mawili matatu.
Wanawake kama walivyo wanaume nao huwa Wana hisia za furaha na huzuni pia, kutofautiana katika ndoa ni Jambo la kawaida Sana kwasababu binadamu hatuja kamilika hivyo huwa tuna fanya makosa ima Kwa kujua au kutokujua au...
Heri ya Krisimasi, Merry Christmas
Sikukuu ya Krisimasi kwa mwaka huu imedondokea siku nzuri ya Jumapili! Hii ni Makala ya Jumapili ya Krismasi.
Kwa mafundisho ya dini ya Kikristu, tuliyopewa na huyu Masiya aliyezaliwa leo, Bwana wetu Yesu Kristu, aliulizwa amri kuu kuliko zote ni amri gani...
Wengi tungependa kuishi na kulelewa na wazazi wetu waliotuzaa lakini maisha yana changamoto nyingi. Kuna wanaozaliwa na wazazi wanapoteza maisha, wengine ni matokeo ya kubakwa, wengine ni mimba za ujanani wakati wazazi wote hawana dira za maisha.
Wengi wetu pale unapomuelewa mtu na kuanza...
Habari wakuu.
Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo...
Kwa wale wanaume wenzangu mliopo katika mahusiano ya muda mrefu na mnawapenda sana wapenzi wenu na hamtaki kuwapoteza basi tieni mimba hao wachumba zenu kama vishika uchumba mtoto akizaliwa mtajua mtaleaje.
Haya mambo ya kupeleka barua sijui posa sijui nyumbani kwao wanaitambua kwetu wanamjua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.