Ukiwa jikoni halafu ukawa unapendwa sana na ukawa mshikaji wake unasogezewa mwiko unaambiwa onja chumvi kama iko sawa💕😀
Mpe kampani huko jikoni mkipiga stori za hapa na pale. Wanawake wanapenda sana ila sisi wanaume huwa tunaona kukaa jikoni na mkeo ni ugai gai ila ni moja ya kitu bora sana kwao
Unakuta mdada anapendwa sana na kijana ana mshawishi Kila siku ampeleke kwao kumtambulisha Ili taratibu zingine za ndoa zifuate lkn unakuta mdada hampendi kabisa huyo kijana lkn huyo mdada Mahali anapopapenda hapendwi
Wala hakuna malengo lkn yeye ndio unakuta anaona ni mwanaume wa ndoto zake...
Karibuni tena kwenye kiota cha Malavidavi hapa JF, leo Mjanja M1 nina swali kwako Mdau.
Ni kweli unampenda mpenzi wako au unamuonea huruma tu?
TIRIRIKA MKUU HAKUNA ANAEKUJUA HUMU.....!
Ile siku mahususi kwa ajili ya wapendanao imewadia. Yaaani 14 February, hii ndio siku ambayo gest zote nchini huwa bize.
Je, unapendwa?? Mara yako ya mwisho kuambiwa nakupenda na mme, mke, etc ilikuwa lini? Vijizawadi vya hapa na pale je!
Je unapendwa? Embu titirika hapo chini….
Hili ni jambo nyeti sana, sometimes ni ngumu kujua je umempenda mtu au umemtamani mtu, au mtu anakupenda kweli au amekutamani tu.
Can I have your attention, kwa wale ambao wanashindwa kujua kuwa wamempenda mtu kweli au wamemtamani tu?
1. Kumpenda jinsi alivyo, no matter anamiliki nini, je ni...
Mie nipo single Kisa napenda kweli mpenzi wangu halafu yeye harudishi fadhila kwakweli .
Sasa kama upo kama mie njoo tufarijiane halafu kama unahonga hurudishiwi fadhila njoo ufarijike hapa kama unatoa marange, vitu vya kifahari unajikomba halafu urudishiwi fadhila njoo upozee hapa roho.
Hiki ni kipimo sahihi cha kujua kama mpenzi wako anakupenda kweli au anapenda tu pesa zako na hapa naongelea zaidi kwasisi wanaume.
Unakuta mtu ana mpenzi wake wa kike na anajinadi kwa watu kwamba mimi mwanamke wangu ananipenda, umetumia kigezo gani kujiaminisha hayo unayotamka ?
Umeingia...
Aisha ana wapenzi wawili, Moja wao ni Ally na huyu ndie boyfirend wake wa tangu kitambo na anampa penzi moto moto.
Wapili ni Jose, Kijana flani yupo Taasisi flani nzito ama mfanya biashara mwenye mkwanja mrefu, kijana wa totoz, Aisha yupo kwajili ya kukusanya mtaji tu hapo, siku akiachwa awe...
Habari wana JF,
Kumekuwa na tafsiri nyingi tofauti juu ya kupendwa, hebu kama wewe ni mwanaume au mwanadada tuelezane ni mambo gani yanaweza kukuhakikishia kwamba unapendwa kwa dhati na mwenza au mpenzi wako...
Pia soma: Do you feel LOVED?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.