unapendwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukiwa jikoni halafu ukawa unapendwa sana na ukawa mshikaji wake unasogezewa mwiko unaambiwa onja chumvi kama iko sawa💕😀

    Ukiwa jikoni halafu ukawa unapendwa sana na ukawa mshikaji wake unasogezewa mwiko unaambiwa onja chumvi kama iko sawa💕😀 Mpe kampani huko jikoni mkipiga stori za hapa na pale. Wanawake wanapenda sana ila sisi wanaume huwa tunaona kukaa jikoni na mkeo ni ugai gai ila ni moja ya kitu bora sana kwao
  2. T

    Hivi mtu aamue Nini pale ambapo unapendwa sana na mtu usiempenda

    Unakuta mdada anapendwa sana na kijana ana mshawishi Kila siku ampeleke kwao kumtambulisha Ili taratibu zingine za ndoa zifuate lkn unakuta mdada hampendi kabisa huyo kijana lkn huyo mdada Mahali anapopapenda hapendwi Wala hakuna malengo lkn yeye ndio unakuta anaona ni mwanaume wa ndoto zake...
  3. Unampenda kweli, au unamuonea huruma?

    Karibuni tena kwenye kiota cha Malavidavi hapa JF, leo Mjanja M1 nina swali kwako Mdau. Ni kweli unampenda mpenzi wako au unamuonea huruma tu? TIRIRIKA MKUU HAKUNA ANAEKUJUA HUMU.....!
  4. Ni 14 February je, unapendwa….?

    Ile siku mahususi kwa ajili ya wapendanao imewadia. Yaaani 14 February, hii ndio siku ambayo gest zote nchini huwa bize. Je, unapendwa?? Mara yako ya mwisho kuambiwa nakupenda na mme, mke, etc ilikuwa lini? Vijizawadi vya hapa na pale je! Je unapendwa? Embu titirika hapo chini….
  5. Je, utajuaje kama unapendwa au unampenda mtu?

    Hili ni jambo nyeti sana, sometimes ni ngumu kujua je umempenda mtu au umemtamani mtu, au mtu anakupenda kweli au amekutamani tu. Can I have your attention, kwa wale ambao wanashindwa kujua kuwa wamempenda mtu kweli au wamemtamani tu? 1. Kumpenda jinsi alivyo, no matter anamiliki nini, je ni...
  6. Kama unampenda halafu hurudishiwi upendo njoo tufarijiane 🖤💔

    Mie nipo single Kisa napenda kweli mpenzi wangu halafu yeye harudishi fadhila kwakweli . Sasa kama upo kama mie njoo tufarijiane halafu kama unahonga hurudishiwi fadhila njoo ufarijike hapa kama unatoa marange, vitu vya kifahari unajikomba halafu urudishiwi fadhila njoo upozee hapa roho.
  7. S

    Kipimo sahihi kwamba unapendwa na mpenzi wako au hupendwi ni pale unapokua huna kitu

    Hiki ni kipimo sahihi cha kujua kama mpenzi wako anakupenda kweli au anapenda tu pesa zako na hapa naongelea zaidi kwasisi wanaume. Unakuta mtu ana mpenzi wake wa kike na anajinadi kwa watu kwamba mimi mwanamke wangu ananipenda, umetumia kigezo gani kujiaminisha hayo unayotamka ? Umeingia...
  8. Unajiona unapendwa kisa umewekwa Profile picture Whatsapp na kila mtu anaiona? Ijue mbinu chafu ya kuwaingiza kingi wawili bila wao kujua

    Aisha ana wapenzi wawili, Moja wao ni Ally na huyu ndie boyfirend wake wa tangu kitambo na anampa penzi moto moto. Wapili ni Jose, Kijana flani yupo Taasisi flani nzito ama mfanya biashara mwenye mkwanja mrefu, kijana wa totoz, Aisha yupo kwajili ya kukusanya mtaji tu hapo, siku akiachwa awe...
  9. Kumbe na Rwanda mchezo huu unapendwa!

    Kwetu jirani na mto Ngono, viunga vya Katerero, jirani na Kyetema swampland tunaita hako kamchezo 'KT technology'!
  10. Nipo Mashakani, sidhani kama bado napendwa

    Habarini
  11. Kitu gani kinakupa uhakika kuwa unapendwa kweli na mwenza wako?

    Habari wana JF, Kumekuwa na tafsiri nyingi tofauti juu ya kupendwa, hebu kama wewe ni mwanaume au mwanadada tuelezane ni mambo gani yanaweza kukuhakikishia kwamba unapendwa kwa dhati na mwenza au mpenzi wako... Pia soma: Do you feel LOVED?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…