KATARAMA KATARAMA KATARAMA!!!
Nilichoshudia Jana saa 11 jioni katika hii BUS JIPYA lililokua linaelekea Mwanza kama walifika salama wamshukuru Mungu na wasali sana maana alikuwa ana overtake magari zaidi 3 sehemu yenye mlima alikuwa anaua abiria wake na kusababishia ajali BUS LA ADVENTURE...