underrated

Nothing Is Underrated is the second solo album by Fugazi bassist Joe Lally. As the follow-up to Lally's debut, There to Here, it stylistically similar in its woody, bass-oriented grooves. Much like its predecessor, Nothing Is Underrated features various members of Washington D.C. groups such as Faraquet, the Capitol City Dusters, Medications, The Out Circuit, the Delta 72, Capillary Action, Rites of Spring, and Lally's band mates in Fugazi.

View More On Wikipedia.org
  1. Mad Max

    Smartphone za Oppo na Vivo zipo underrated sana. Wana vyuma vina camera iPhone yoyote haiweki mguu!

    Tuache Xiaomi na Huawei, hao habari nyingine kabisa. Yaani sio Samsung wala Apple apo atasogeza flagship yake. Tuongelee hawa wawili, Oppo na Vivo. Ukiwachukulia poa utasema ni garbage nyingine kutoka kwa Mchina, ila aisee hawa jamaa wana flagship kali sana. Mfano: Vivo X100 Ultra, na Oppo...
  2. Yoda

    Kwanini Ujerumani iko underrated (inachukuliwa poa) sana kwa matatizo iliyosababishia dunia?

    Watu wengi huwa wanawalaumu Wayahudi na kuwazushia conspiracies nyingi sana kwamba wamesababisha matatizo makubwa kwa dunia, mimi nafikiri hii ni tabia ya ukasuku wa watu kukariri tu mambo yanayosemwa bila kuyatafakari. Kama kuna taifa ambalo limechangia madhila makubwa duniani ni Ujerumani...
  3. Mad Max

    Leo ni 10 10 Tesla Event: We Robot!

    Baada ya kimya na ahadi za muda mrefu za CEO wa Tesla, Elon Musk, finally ile siku imewadia. Ni tarehe 10 October, ambapo billionaire uyo atafanya uzinduzi wa huduma na bidhaa mbalimbali kutoka kwenye kampuni yake ya Tesla. Event ina tittle “We Robot” ambayo tunaamini kaitoa kwenye series ya...
  4. Cybergates

    Ruby: Moja ya underrated language hasa kwenye development

    Ruby ni moja language ipo underrated sana na developer wengi Side project nyingi hasa web development na API mimi huwa natumia ruby, pia nichanguo langu la kwanza Ni mara chache sana unakutana na developer mwingine anatumia ruby, Mtu akikukuta unafanya development na ruby anakushauri utumie...
  5. Best Daddy

    Best Hidden Gems | Underrated Series | TV Shows

    Dr King (M.L.King Jr) alishawahi nukuliwa akisema “ Not everyone can be FAMOUS , but everyone can be GREAT. Japo hotuba yake ilikuwa yenye mlengo wa kisiasa, lakini kupitia nukuu hii alikuwa anajaribu kutonesha kuwa kuna utofauti kati ya Umaarufu(Fame) na ubora(Greatness). Kwa lugha nyepesi...
  6. G

    Fainali 6 ubingwa mara 5 uefa, Carlo Ancelloti anachukuliwa poa sana + underrated, hapati heshima anayostahili

    DON CARLO ANCELOTTI
  7. Mngoni asiyepiga gambe

    10 Most Underrated TV Shows

    Ushawahi kuangalia series au movie halafu ukajiuliza kwann sio popular miongoni mwa zile popular tv shows? In my opinion hizi ni miongon mwa most under rated tv shows & movie , let me know your thought. 1. THE STRAIN mapambano dhidi ya kirusi hatari kinachosababisha hali ya uzombie mtiririko wa...
  8. Fortilo

    Moshi, The most underrated city in Tanzania. Angalia maoni haya mzungu, ni safi kama Kigali, ameipenda kuliko Nairobi

    Wakuu umofia kwenu, Pengine ukimya wa watu wa Moshi na roho yao ya Maisha popote ndio inafanya wasidai moshi yao kama ilivyo. Angalia mawasiliano ya huyu mzungu anavyoisifia Moshi. Kwamba anashangaa kwanini inasifiwa Arusha pekee na sio Moshi? Serikal yenyewe inapeleka mirad yote ya...
  9. Logikos

    Treach - One of Underrated Rappers

    Kwa wale wanaopenda uniqueness nadhani watakubaliana na mimi kwamba Treach should have a mention in one of the Best out-there to ever walk the earth, his flow is an art in itself.
  10. H

    Hii series ni Kali ile mbaya lakini ipo underrated

    Habari Zenu, Katika utundu wa kutafuta series ya kuangalia kuna jamaa yangu mmoja akanirushia series moja ya Taiwan inaitwa DANGER ZONE CHAPTER 1: THE DARKNESS KNIGHT binafsi sio mpenzi wa movie au series zinazotoka Taiwan au za wafilipino lakini siku moja nikuwa Sina kitu Cha kufanya nikaona...
  11. Stephen Ngalya Chelu

    Ni chakula, tunda au kinywaji gani unaona kipo overrated/underrated?

    Kwa upande wangu, Underrated Makande: Nimekuwa nikiona watu wakiyadharau sana makande eti kwamba ni chakula cha ajabu ila kwa mimi naona makande hayapewi heshima inayostahili. Jamii zote za makande kama; makande njugu, makande maharage zina mabalaa yake. Halafu itokee siku hiyo likachanganuwa...
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Jose Mtambo alikuwa underrated au hakuwa na zali?

    Sikiza hii ngoma ni ya kitambo sana. Ila style kali ni kama imerekodiwa leo asubuhi. Jose ananata na kuichakaza biti vibaya sana. Huwa namsikiliza huyu mwamba najiuliza alikosea wapi kutusua. Was he underrated?
  13. Mukuu123

    Amri Kiemba yuko underrated

    Kwa wachambuzi wa mpira wa league ya Bongo hakuna wa kufikiria uyu jamaa yupo vizuri sana hasa kwa kujenga hoja na kiufundi achana na hao wengine wenye blah blah nyingi kama wa kina ambangile.
Back
Top Bottom