Jamani nahitaji msaada wenu.
Hivi karibuni nimepima kilo zangu nikawa nina kilo 86, nikasafiri kwenda mkoani kwaajili ya sikukuu kila ninayekutana naye ananiambia kuwa nimekonda!
Jamani nifanyaje je? Ni ugonjwa au ni shida gani, maana mimi najiona niko kawaida ila watu wanasema nimekonda...