Waziri Kombo akutana na Mwakilishi wa UNFPA nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kuzungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu (UNFPA), Bw. Mark Schreiner katika ofisi...