Mimi nj mdau wa muda mrefu wa unga wa ngano wa Azam. Lakini kwa sasa unga wenu umepungua sana ubora.
Hauna ubora wa mwanzo umekua hauna quality umekua kama umechanganywa Na unga wa mahindi.
Ukiukanda unakua kama mpira halafu hata ukitengenezea Maandazi hayawi soft kama zamani Na unanyonya...
Kama kichwa kinavyo jieleza. Hili ni janga la muda mrefu na hali hii inazidi kukomaa hali inayopelekea maziwa kutokuaminika kabisa.
Wauzaji kuanzia wafugaji wanao kamua maziwa hadi wenye maduka wanaouza rejareja, wengi wao wanaweka maji ili maziwa yawe mengi na kisha kuweka unga wa ngano ili...
Leo kulikuwa na Press conference baina ya Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara na Waziri wa Fedha na Waandishi wa Habari.
Maelezo kuhusu upungufu wa ngano ulielezwa vyema na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara na kusema kuwa mahitaji yetu ya ngano ni tani 800,000 kwa mwaka na sisi...
Viwanda vyetu hususani kama vya Azam vijiandae kwa maumivu kwani itakuwa ngumu kushindana na maviwanda ya Kenya. Pia na sisi tunaotaka kujenga tujumba twetu tujiandae maumivu kwani cementi ya kutoka viwanda vyetu ambayo ina ubora wa hali ya juu hususani ile ya Dangote, kiasi kikubwa kitakuwa...
Moja kwa moja twende kwenye mada
Kama unamalemgo yakufua biashara ya duka hii jumla achana na haya maduka ya mtaania ya Mangi nazungumzia biashara ya jumla mfano pipi, Tambi, Unga, Mafuta,sabuni,nk...
Karibu nipo tayari kushare my experience yangu kwenye hii biashara nayafahamu mengi zaidi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.