Habari Mimi ni kijana mjasiliamali nataka kuanzisha kiwanda cha kuzalisha Unga (sembe +dona) Dar.
Nilikuwa naomba wazoefu kwenye hii biashara wanipe muongozo kwenye haya.
1. Mashine zipi ni bora ( kusaga, kukoboa na sealing) na ufanis wake ukoje
2. Mahindi ya mkoa gani ni mazuri? Na huwa...