Mambo zenu wakuu leo nitafundisha jinsi ya kupika ugali.
Fuata Steps Hizi
MAHITAJI
Maji,unga wa sembe/Dona + Sufuria,Ubanio,Mwiko na jiko la aina yoyote mkaa au umeme au gesi..
Step 1
Sikia Injika sufulia yako jikoni ikiwa na maji yenye unga kidogo. hakikisha maji utayoweka yatakutosha.Pia...