unit za umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    SoC04 Bei nafuu ya uniti za umeme itaongeza uzalishaji na kukuza uchumi wa taifa letu

    Umeme ni nishati muhimu sana na tunu katika manufaa makubwa ya maisha yetu ya kila siku. Umeme unaumuhimu mkubwa sana katika nyanja zifuatazo; 1. Uendeshaji wa viwanda vikubwa na vidogo vidogo. Umeme husaidia sana kuendesha viwanda hivyo gharama zikiwa kubwa ata bidhaa zitauzwa kwa bei kubwa na...
  2. Nyendo

    KERO Kwanini TANESCO hamna utaratibu mzuri wa kurejesha unit za mtu za umeme pale mnapobadili mita?

    Wiki kadhaa zilizopita TANESCO walikuja kwangu kubadili mita (niliwaita kutengeneza kutokana na mita kuwa inajizima yenyewe, walipoitazama wakasema lazima iwekwe mpya) hivyo wakasema watakuja watu wataoweka hiyo mita. Kesho yake mapema wakaja watu wengine kuniwekea mita, wakaangalia umeme...
Back
Top Bottom