Wiki kadhaa zilizopita TANESCO walikuja kwangu kubadili mita (niliwaita kutengeneza kutokana na mita kuwa inajizima yenyewe, walipoitazama wakasema lazima iwekwe mpya) hivyo wakasema watakuja watu wataoweka hiyo mita.
Kesho yake mapema wakaja watu wengine kuniwekea mita, wakaangalia umeme...