universe

Saahil Arora, better known as Universe, is an American former professional Dota 2 player. He was a member of the Evil Geniuses team that won The International 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Aliyefutiwa Uraia Afrika Kusini, Chidimma aibuka mshindi wa pili Miss Universe 2024

    Malkia wa urembo wa Miss Universe Nigeria, Chidimma Adetshina, ameibuka mshindi wa pili katika shindano la Miss Universe 2024 lililokamilika Mexico City Jumamosi usiku. Miss Denmark, Victoria Kjaer Theilvig ndiye aliyeibuka Miss Universe mwaka huu 2024. Chidimma Adetshina ambaye awali...
  2. Waufukweni

    Aliyefutiwa Uraia Afrika Kusini, Chidimma ashika nafasi ya tatu kwenye Miss Universe Pre Arrival Hot Picks

    Mrembo wa Nigeria aliyefutiwa Uraia nchini Afrika Kusini, Chidimma Vanessa Adetshina ameshika nafasi ya tatu Duniani kwenye Miss Universe Pre Arrival Hot Picks. Soma, Pia: Afrika Kusini yamfutia uraia mrembo wa Nigeria, Chidimma Adetshina pamoja na Mama yake Chidimma Adetshina, ambaye alikuwa...
  3. Hondelo

    Udhihirisho (manifestation) kwenye hizi namba unafanyikaje?

    Mara kadhaa nimekutana na stori nyingi kuhusu upekee wa hizi namba (3,6 na 9), wengine wakidai zikitumika katika manifestation zina nguvu kubwa. Kwamba zinatuunganisha na Universe, kwa hiyo ukizitumia vizuri unaweza kuomba chochote (huku ukikifanyia kazi) na kikakuletea matokeo chanya. Swali...
Back
Top Bottom