Mizengwe na fitna havikuanza baada ya Baba wa Taifa kuondoka madarakani. Hata wakati wake, wapo waliojaribu kuanzisha mizengwe na fitna za kisiasa. Tofauti ya wakati ule na huu wetu ni moja tu. Wakati wa Baba wa Taifa, mizengwe na fitna ilianzishwa na wapambe na makanda bila kumhusisha...