Katika kuomba kazi zilizotangazwa na Tamisemi kuna kipengele cha kujaza namba ya usajili wa chuo. Mhusika alisoma chuo cha Tumaini University-Iringa baadaye chuo kikajitegemea kikawa University of Iringa (Uol).
Changamoto kwenye machaguo hakipo, naomba kama umepitia hiki chuo na umeomba kazi za...