unlock

  1. Naomba msaada wa ku unlock router hii hapa chini

    Nimeambatanisha d details zote pichani.
  2. Breaking Free: The Journey to Unlock Your Potential

    https://www.youtube.com/watch?v=qQEXbLvZou4 In the bustling heart of a nameless metropolis, where dreams often fade into the monotonous hum of daily routines, a young artist named Elias found himself trapped. Not by iron bars or physical constraints, but by the invisible chains of his own...
  3. Msaada wa unlock Airtel router (5G smart box)

    Habari wakuu, Wiki chache nyuma nilikuja jukwaani kuomba msaada wa jinsi ku block users amabo wanapata access ya password, Baada ya kuitumia Router ya Airtel kwa kipindi kirefu sasa imeanza kunipa kuchangamoto kadhaa ikiwepo kupungua kwa kasi ya internet nimechoka kuvumilia ikumbukwe nalipia...
  4. G

    IT wetu hawana ubunifu? Router ambazo hazina watumiaji wengi nje ya mipaka hawawezi kuzi-unlock, wanasubiri wazungu na wachina wawatafunie wao wameze

    Hapo zamani mitandao ilileta routers na modem za kampuni maarufu kama Huawei na zote, Ma IT na mafundi wengi waliweza kuzifungua kwasababu wazungu, wachina, wahindi, waarabu, n.k. walikuwa wanaumiza vichwa kubuni mbinu za kuzifungua, mafundi wetu walikuwa wanafuata maelekezo, modem na router...
  5. Fungua (Unlock) radio ya gari lako iliyojifunga na CarRadio Unlock Solutions

    Kuna wakati mwingine radio yako inajifunga baada ya kubadilisha betri ya gari lako. Ukipata tatizo hilo usisite kutupigia kwa namba hii 0687746471 tutakufungulia radio yako. Karibuni. Ni sisi CarRadio Unlock Solutions.
  6. Msaada wa ku unlock iPhone, nimesahau passcode

    Sina mengi ya kuandika, msaada kwenye tuta hizi simu zengine basi tu
  7. Natafuta unlock codes za Samsung Note 10 5G

    Natafuta codes za simu tajwa hapo juu, Mwenye nazo aje tuyajenge, nakaribisha wadau wote
  8. Jinsi ya ku unlock abilities zilizopo ndani yako

    Hiki ni kisa ambacho kitakufanya uweze ku unlock abilities(uwezo) ambao upo ndani yako. Hapa tunaona mfano wa simba mdogo ambaye amekua tangu akiwa mdogo pamoja na kundi la kondoo, hali iliyomfanya adhani yeye ni kondoo na kuishi pamoja na kula majani kama kondoo. Hali hii iliendelea hadi...
  9. Natafuta mtaalamu wa ky unlock modem hii e3372h-607 ya ttcl

    Wakuu natafuta mjuzi wa hii modem nimejaribu mimi binafsi nimekwama nimeona nije hapa wajuzi mnaweza nipa muongozo au kama yupo mtu anazi unlock uniunge nae nitshukuru... Found Applications port COM7 Found modem : E3372 Model : Huawei AuthVer 4 modem (New) IMEI...
  10. Naomben msaada wa ku_unlock modem ya Huawei E3372

    Habari wakuu, Naomben msaada wa ku_unlock modem ya Huawei E3372.
  11. Msaada jinsi ya ku unlock simu aina ya amazon fire

    Habari za majukumu wandugu, naombeni msaada wa program itakayoweza kunisaidia kuondoa simlock katika simu aina ya amazon au kama kuna mtu anaweza kufanya kazi hii aje PM Natanguliza shukrani.
  12. Network unlock

    Habari wakuu, Mwenye network unlocking code za Motorola e5 locked by Verizon anisaidie tafadhali. Imei yake 351838090697861.
  13. Tupeane ujuzi namna ya ku-unlock network hizi simu za kijapan SHARP ANDROID ONE S3-SH

    Wakuu hii simu inaniumiza kichwa nimejitahidi kuitafutia ufumbuzi wa hili tatizo lakini bado sijaweza kufanikiwa Ina CPU ya Qualicomm nimejaribu kutumia NCK but nothing changed Kama kuna mtu alishawahi kukumbana na tatizo kama hili kwenye simu hizi za kijapan akafanikiwa kutatua naomba tupeane...
  14. M

    Education is a key that doesn’t fit to unlock economic opportunities for the youth

    (Please read it to the end...we are facing the same problem). Education is a key that doesn’t fit to unlock economic opportunities for the youth Alupheli | 02 December 2020 Many people from the black community get their degrees each year and hope for a job, not even a good paying job. Times...
  15. Msaada jinsi ya Ku Unlock Router Vodafone r207-z

    Habari wakuu, ninaomba msaada wa ku unlock hii vodafone router (vodafone R207-Z) ili niweze kutumia mitandao yote. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  16. Msaada: Jinsi ya ku unlock simu

    Habari wakuu! Naomba kwa anayefahamu jinsi ya Ku unlock simu ya Nokia ya torch iliyosahaulika password anisaidie tafadhali Naomba kuwasilisha.
  17. M

    Jinsi ya kuondoa Activation lock (Icloud unlock) kwenye iPhone

    Habari wandugu, Naomba kuuliza kwa waelewa wa mambo jinsi ya kuondoa activation lock (Icloud unlock) kwa apple devices i.e iphone, ipod, ipad, apple watch etc. Pia isiwe bypass/jailbreak. Yaani baada ya kuondoa iweze kupokea latest ios update na pia waweza reset. Naomba kuwasilisha
  18. FBI yafanikiwa kufungua (Unlock) na kutoa taarifa za kwenye simu iliyokuwa ikitumiwa na gaidi Syed Farook

    Baada ya miezi ya kujaribu kufungua (bila kufuta taarifa) simu mbili aina ya iPhone [ iPhone 5 na iPhone 7 ] zilizokua zikitumiwa na gaidi aitwaye Syed Farook (21), Hatimaye FBI yafanikiwa kuingia kwenye iPhone iliyokuwa ikitumiwa na Syed Farook aliyehusika na tukio la kuwamiminia risasi na...
  19. Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    Pata kujua jinsi watu wanavyounlock modem unakaribishwa kwa maswali na utasaidiwa. BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU JAMBO HILI --- --- === UFAFANUZI WA JUMLA WA NAMNA YA KUFANYA JAMBO HILI A. Jinsi ya kuunlock modem ya E303s-1 Kwa njia hii utaweza kuunlock modem zote za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…