Nitajuaje kama nyumba ninayotaka kununua ina migogoro? Nitajuaje kama labda nyumba ina mkopo bank?, nitajuaje kama kiwanja kipo na migogoro?
Na mshikaji wangu ana budget ya million 25 anataka kununua nyumba, aingie kabisa, kaanza kuconsult madalali wametumia nyumba za ofa yake, target yake ni...