ununuaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nilitegemea ununuaji wa umeme toka Ethiopia uwe ni Top story TZ badala yake Simba na yaga zimetamalaki.

    Hii hali inashsngaza sana. Toka sa11 alfajiri simba yanga simba yanga. Hizi radio zetu haziwezi kualika wataalsmu na wakatwangwa maswali directly ili watoe ufafanuzi wa kununua umeme Ethiopia. Yaani distance kutoka Ethiopia na rufiji imekaaje aisee.hizo TL losses. Tunapigwa mchana kweupee
  2. Tujuzane Naweza Pata soko la ununuaji funza

    Tujuzane soko la ununuji funza lipo vipi
  3. Ufisadi wa zaidi ya billion 80 kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo

    Leo katika kupitia pitia masuala ya nchi nakutana na article katika gazeti la mwananchi kuhusu ufisadi wa zaidi ya billion 80 kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo. Kulingana na ripoti ya Mhasibu Mkuu na Mdhibiti (CAG) ya hivi karibuni, kasoro katika bei ya ndege mpya ya mizigo ya Air Tanzania...
  4. Naomba mwongozo wa ununuaji wa hisa na makampuni ya uhakika

    Je ni makampuni gani Tanzania yanayotoa huduma ya uwekezaji mfumo wa hisa kwa wanachama kwa ufanisi na faida? Na je maelezo tajwa hapa chini Yana ukweli kuzuia kupata hasara na matatizo ya afya ya akili
  5. Jihadhari: Utapeli mpya kwenye ununuaji wa ardhi

    Habari ya wakati huu wakuu. Nimewiwa kushare hili suala ambalo kwa hapo awali nilipokutana nalo nilijua hutokea kwa bahati mbaya hadi hapo wiki iliyopita nilipojua vinginevyo. Huu ni utapeli wa kuibiwa kwa kutumia sheria yaani unaibiwa wakati wewe ukiamini kuwa umenusurika kuibiwa😂😂😂 na...
  6. M

    Waziri Makamba, Tatua suala la kodi ya pango kupitia ununuaji wa LUKU

    Mheshimiwa Waziri Makamba Inavyoonekana vijana/watu waliotengeneza mfumo wa kulipia kodi ya jengo kupitia ununuaji wa LUKU walichokifanya, ni kukata pesa kupitia kila namba ya simu itakayonunua LUKU bila kujali namba hizo tofauti zinanunua umeme kwa ajili ya mita moja. Mathalani kama Namba X...
  7. Mita ya TANESCO na ununuaji wa Luku

    Ukifunga mita ya TANESCO hii ya Luku kwa mfano mita nimefunga mbezi, alafu nikahama Mbezi na mita yangu nikahamia labda magomeni na hiyo mita, nimesikie eti ni hadi nikahamishe location ya mita ili niweze kununulia umeme sehemu niliohamia bila hivyo siwezi pata hiyo huduma kwa hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…