Habari wana JF,
Naitwa Mayombo nimekuja kwenu kuomba ufafanuzi kwa yeyote mwenye experience na biashara hii ya uuzaji na ununuzi wa madini hapa nchini
1. Hatua gani za kufuata kisheria?
2. Inahitaji pesa kiasi gani kama mtaji?
3. Changamoto zikoje na faida?
Tafadhari naomba msaada ili...