ununuzi wa ndege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Etwege

    Orodha ya wanasiasa ambao bila kuwapuuza Tanzania tusingekuwa hapa leo

    1. Zito Kabwe Huyu mwanzilishi wa ACT Wazalendo alikuwa haamini kabisa kama Tanzania inaweza kuwa na ndege zake mpya kabisa kutoka kiwandani! Alitukana na kukejeli kwamba Tanzania haina uwezo huo na hata ikijitutumua sana itaambulia panga boi zilizotumika wakati wa vita ya kwanza ya dunia. Zito...
  2. ChoiceVariable

    Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

    Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani. Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Hayati Magufuli kwanini alificha jalada la ununuzi wa ndege?

    Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi. Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege. Umewahi kujiuliza kwanini mamlaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu haikuwahi kutoa maoni yao juu ya ununuzi wa ndege? Taarifa zilizopo ni...
  4. Mparee2

    Serikali isitishe ununuzi wa ndege mpya kwa sasa

    Kutokana na janga la korona, uendeshaji wa ndege ni kati ya biashara ngumu sana ulimwengni kwa sasa kwani mashirika mengi tena yenye nguvu yamekuwa yakipata hasara ya mabilioni ya Pesa Kutokana na hii changamoto, nafikiri ni wakati sasa wa Bunge kuishauri serikali isitishe maramoja ununuzi wa...
  5. B

    Tulilalamika ununuzi wa ndege nje ya bajeti, Soko la Kariakoo litajengwa kwa bajeti iliyopitishwa Bungeni?

    Naomba wanaojua Kama fedha za kujenga soko jipya Kariakoo zipo kwenye bajeti au zimetoka kwa Mhe Rais. Kama zinatoka kwa Rais je yeye anazitoa wapi? Au tunaendelea kuwa taasisi inayopanga namna kinyume na Bunge Kama ilivyokuwa awamu ya Tano? Auditing yake itakuwaje? Value for money itapimwaje?
  6. S

    Kwanini Tanzania iendelee kununua ndege?

    Leo Jumatano Septemba 01, 2021 Gazeti la HABARI LEO limeachia Makala yangu kwenye ukurasa wake wa 12 mpaka 13 yenye kichwa cha habari "KWANINI NI MUHIMU TANZANIA IENDELEE KUNUNUA NDEGE?. Mjadala mzuri na mkubwa sana. Ni hivi, katika juhudi za kufufua Shirika la ndege na kuimarisha sekta ya anga...
Back
Top Bottom