ununuzi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dkt. Biteko azitaka Mamlaka za Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi, maadili na uwajibikaji

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezitaka Mamlaka za Udhibiti na Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi, maadili na uwajibikaji ili kuleta ufanisi uliokusudiwa. Dkt. Biteko ametoa agizo hilo wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...
  2. Hotuba ya Biteko, ufunguzi wa Jukwaa la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki na Uzinduzi wa Mfumo wa NEST

    HOTUBA YA MHE. DKT. DOTO BITEKO, NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI, AKIMWAKILISHA MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UFUNGUZI WA JUKWAA LA 16 LA UNUNUZI WA UMMA LA AFRIKA MASHARIKI NA UZINDUZI WA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA UNUNUZI WA UMMA (NEST), TAREHE 9 SEPTEMBA 2024...
  3. PPAA yaelezea maboresho ya Rufaa zinazotokana na michakato ya Ununuzi wa Umma kutoka siku 45 hadi siku 40

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere ameipongeza Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kutoa elimu kwa umma kuhusu majukumu yake. Kichere ametoa pongezi hizo wakati alipotembelea banda la PPAA katika Maonesho ya 48 ya Biashara...
  4. PPAA mbioni kukamilisha Kanuni za Rufaa za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2024

    Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) ipo katika hatua za mwisho za kupokea maoni ya Kanuni za Rufaa za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2024 ili kuiwezesha Sheria ya Ununuzi Umma ya Mwaka 2023 kutekelezeka kwa ufanisi, ambapo pamoja na mambo mengine, Kanuni hizi zitatoa wigo mpana wa kuwasilisha...
  5. Rushwa ya Ngono kikwazo Wanawake kushiriki Ununuzi wa Umma (Public Procurement)

    Hayo yamo katika ripoti ya utafiti wa ushiriki wa wanawake katika ununuzi wa umma uliofanywa na Kituo cha Africa Freedom of Information Centre (AFIC) katika nchi tano za Kenya, Uganda, Ethiopia, Rwanda na Tanzania. Akiwakilisha matokeo ya utafiti huo kwa waandishi wa habari jana jijini hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…