unyanyapaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Ubaguzi na Unyanyapaa

    Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Ubaguzi na Unyanyapaa ni tukio linaloadhimishwa kila mwaka tarehe 1 Machi. Lengo la siku hii ni kuhamasisha uelewa na kuchukua hatua dhidi ya ubaguzi na unyanyapaa katika jamii. Inalenga kuelimisha umma kuhusu madhara ya ubaguzi na unyanyapaa kwa watu na makundi...
  2. Memtata

    Huu si unyanyapaa, nimesaidia rafiki zangu

    Habari wadau, Mimi binafsi nilishawahi kupata kashfa ya UKIMWI, nakumbuka ilikuwa wakati mgumu sana kwangu na niliishi kwa mateso, unyonge na hofu kubwa lakini leo hii kuna mmoja nimesema hadharani habari zake za maambukizi. Huyu dada niliwahi kuwa na mahusiano naye sasa kwakuwa mzunguko ni huu...
  3. Gama

    WHO yatangaza kuwa ugonjwa wa Monkeypox utapewa jina jipya

    Shirika la Afya Dunuani limesema kuwa Ugonjwa wa Monkey Pox utapatiwa jina jipya kwa kuwa jina la sasa linaambatana na unyanyapaa FUATILIA ======== Monkeypox to get a new name, says WHO Yesterday 6:34 PM The World Health Organization says it is working with experts to come up with a new name...
  4. Memtata

    Nilionja machungu ya kuwa HIV+, unyanyapaa ni unyama

    Kisa kilianzia miaka 20 na iliyopita, nilikuwa na mpenzi wangu mmoja (nilikuwa kijana muaminifu sana kwenye mahusiano). Tulikuwa kwenye mahusiano kwa muda lakini tulikuwa hatujaoana, kwao walinijua na kwetu walimjua. Baada ya mahuasiano ya muda mrefu huyu binti aliugua muda mfupi na kufariki...
  5. L

    Unyanyapaa wa baadhi ya watu wa magharibi kuhusu China haubadilishi ukweli wa mambo

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni mwanamtandao mmoja wa youtube katika mji wa Shenzhen kusini mwa China, alionekana akizingumzia hali ya usalama katika miji mbalimbali ya China. Bwana Oli kutoka Uingereza alikuwa akielekeza hali halisi ya usalama wa mtu binafsi aliyojionea katika miji mbalimbali ya...
  6. M

    #COVID19 Namna gani unaweza kujumuika na muathirika wa COVID-19 ili asione mnamnyanyapaa?

    Unyanyapaa ni kitu kibaya sana. Hivyo lazima kuepukwa. Lakini vipi unapokuwa na mate wako ambae aliugua dalili zote za Uviko na bado anakohoa na kupiga chafya. Akija kazini mnatakiwa kuishi nae vipi? Maana kilia mtu anaogopa huu ugonjwa. Kumtenga? Ukimtenga atasema mnafanya unyanyapaa.
Back
Top Bottom