Habari wadau,
Mimi binafsi nilishawahi kupata kashfa ya UKIMWI, nakumbuka ilikuwa wakati mgumu sana kwangu na niliishi kwa mateso, unyonge na hofu kubwa lakini leo hii kuna mmoja nimesema hadharani habari zake za maambukizi.
Huyu dada niliwahi kuwa na mahusiano naye sasa kwakuwa mzunguko ni huu...