Chuo kikuu cha Kampala tawi la Tanzania kimekuwa na tabia ya kuwatesa watanzania wanaosoma kozi mbalimbali hapo chuoni kwa kuwawekea mazingira magumu hasa inapofika nyakati za mitihani ili washindwe kufanya mitihani na badala yake wafanye mitihani ya marudio ambayo inalipiwa bei ghali sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.