unyanyasaji wa kijinsia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tabora: Mwalimu wa Kituo cha Watoto adaiwa kumlawiti Mwanafunzi

    Mwalimu wa shule ya kulelea watoto Tabora anatafutwa kwa kosa la kulawiti mtoto wa shule Mwalimu mkuu wa shule hioo amesikitika sana na kusema mtoto huyo alikuwa akifanywa chooon Mama wa Mtoto anasema alishangaa sikuhio mtoto amekuja ananuka alipombana mtoto akamtaja mwalm Wakaenda...
  2. Tukio la binti kutendewa ukatili na wanaodaiwa kuwa ni askari, linanikumbusha kifo tatanishi cha mtoto wangu. Hatua zichukuliwe, binti apate haki yake

    Mimi ni MZAZI, Mimi ni mlezi, Mimi ni mhanga mkubwa wa ukatili unaoendelea dhidi ya watoto wa kike. Nina hakika kupitia hapa wasomaji wa Jamii forums mtakumbuka kisa kimoja nilikileta hapa nacho si kingine ni kile Cha kufiwa na mwanangu aliye kuwa mwanafunzi wa kidato Cha Tano shule ya...
  3. Kwanini wanaume hukaa kimya wanapofanyiwa unyanyasaji wa kijinsia?

    Wanaume wanakutana na Unyanyasaji wa kijinsia ila kuripoti na kupata msaada wamekuwa wagumu, Nini kinasababisha Wanaume kukaa kimya? Weka maoni yako!
  4. B

    SoC04 Mwanamke awezeshwe katika sayansi na teknolojia ili kuondoa unyanyasaji wa kijinsia na kukuza ustawi wa jamii, na taifa kwa ujumla

    Sayansi na teknolojia kwa mwanamke zina umuhimu mkubwa hasa kumpa fursa ya kujitegemea, kuwa na ushawishi katika jamii na kujenga mustakabadhi bora. Pia sayansi na teknolojia inaweza kuondoa unyanyasaji wa kijinsia. Kwa Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25 , ihakikishe mwanamke anashiri vyema...
  5. MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

    Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza ndani ya gari. Uchunguzi umebaini jina la usajili wa namba ya simu iliyotajwa na mwanafunzi huyo...
  6. DOKEZO Mtoto adaiwa kulawitiwa na Mwalimu na kupewa biskuti na soda. Familia yaomba msaada

    Video credit: EATV Familia yaomba Serikali kuwasaidia kupata haki ya mtoto wao ambae wanadai amelawitiwa shuleni. Wazazi wadai Serikali ya Mtaa na kituo cha polisi hakiwapi ushirikiano. Wakifafanua sakata hilo Wazazi wanadai kuwa walipata mashaka baada ya kuona mtoto wao wa miaka 6 anajinyea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…