unyanyasaji wa kingono

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Sean 'Diddy' Akabiliwa na kesi mpya 120 za unyanyasaji wa kingono kabla ya kusikilizwa kwa kesi za awali

    Hii achatuseme kwamba kazini kwa Diddy kuna kazi. Kesi zinazidi kumiminika zinazomuhusu yeye hadi sasa ni maumivu kwake na je atazishinda zote kesi hizi? ================== Mkali wa Hip-Hop wa Marekani, Sean “Diddy” Combs anatuhumiwa kuhusishwa katika kesi mpya 120 za unyanyasaji wa kingono...
  2. Pdidy

    Baada ya picha zake na P Diddy kuvuja mtandaoni, team ya Leonardo DiCaprio yamkana P Diddy hadharani!

    Mwigizaji kutokea nchini Marekani, Leonardo DiCaprio ameamua kujitenga na kujiweka mbali na na Sean 'Diddy' Combs kufuatia kuibuka kwa picha inayoonyesha yeye akiwa kwenye moja ya sherehe maarufu za "white party" zilizokuwa zinaandaliwa na P Diddy. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na mwigizaji...
  3. gstar

    P. Diddy na kesi ya unyanyasaji wa Kingono

    Tarehe 16-09-2024 SEAN LOVE COMBS maarufu kama P DIDDY alikamatwa huko MANHATTAN jijini NEW YORK akihusishwa na makosa kadhaa ambayo ni kumiliki kundi kubwa la uharifu kusafirisha wanawake kingono Na kufanya biashara haramu. Ila ajabu P DIDDY alipofika mahakamani alisimama na kupinga waziwazi...
  4. Mr Why

    Kulikoni! kesi za ulawiti na unyanyasaji kushamiri lakini wahalifu hawapewi adhabu kali?

    Kuna nini nyuma ya pazia kwanini kesi za ulawiti na unyanyasaji kwa watoto zimeshamiri lakini hatuoni wahalifu wakipewa adhabu kali? Inawezekanaje mtoto wa miaka 4-15 kulawitiwa au kuingiliwa na watu wazima kila mara lakini hatuoni wahalifu wakipewa adhabu kali za kutisha? Au siku hizi...
  5. Mc Justine Mwakibiki

    SoC04 Tufanye nini ili kudhibiti vitendo vya unyanyasaji wa kingono katika jamii?

    Unyanyasaji wa kingono hii ni aina ya unyanyasaji, unaohusisha matumizi ya matamshi ya ngono ya wazi ama ya siri, ikiwa ni pamoja na ahadi zisizohitajika na zisizofaa za zawadi kwa kubadilishana na faida za ngono. Wakati mwingine unyanyasaji huu muathirika, anaweza kutendewa kutokana na hali ya...
  6. BARD AI

    META yapewa siku 22 kujieleza inavyodhibiti maudhui ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya Watoto

    Kampuni ya META inayoendesha Mitandao ya Kijamii ya Instagram, Facebook, Thread na WhatsApp imepewa agizo hilo na Tume ya Udhibiti wa Maudhui Mitandaoni ya Umoja wa Ulaya (EU) ikitaka ufafanuzi wa hatua zinazochukuliwa katika kudhibiti maudhui ya Picha na Video ifikapo Desemba 22, 2023. Oktoba...
  7. Kingsmann

    Rapa Sean 'Diddy' Combs anatuhumiwa kwa ubakaji katika kesi mpya

    P. Diddy amekumbwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kingono. Nguli huyo ameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Manhattan akidaiwa kumnyanyasa kingono mwanamke ambaye alimnywesha dawa za kulevya mnamo mwaka wa 1991 katika mojawapo ya kesi zilizofunguliwa chini ya Sheria ya Watu Wazima...
  8. hamza mahundu

    Wanaume wasiishi bila mweza, inapunguza unyanyasaji wa kingono kwa watoto

    Wanaume walio single wengi wanaishi wenyewe au wamepanga mtaani ndio wanaongoza kuwarubuni vijana au watoto kuwaingilia kinyume na maumbile. Wanawadanganya kwa pesa au simu. Wanawaonesha video za ngono na kuanza kuwashika shika sehemu zao za siri. Ndio maana sehemu nyingine hawapendi kuona...
  9. Mukulu wa Bakulu

    Skendo za Unyanyasaji wa kingono kwa Watoto, waumini 520,000 wajitenga na kanisa Katoliki Ujerumani kwa mwaka

    Kutokana na skendo za Unyanyasaji wa kingono kwa Watoto, zaidi ya waumini 520,000 walitangaza kuachana na kanisa katoliki kwa mwaka 2022, hili ni ongezeko la 44% ukilinganisha na waliojitenga na kanisa mwaka 2021 ambao walikua 360,000. Kwa ujumla kwa mwaka 2022 waaumini zaidi ya 900,000 kutoka...
  10. Suley2019

    Uganda: Wanafunzi wanne wasimamishwa masomo kwa kumnyanyasa kingono mwanafunzi mwenzao

    Polisi nchini Uganda wanafanya uchunguzi wa tukio la Wanafunzi wanne (Wakiume) wa Chuo cha Jinja kudaiwa kumnyanyasa kingono mwanafunzi mwenzao (wakiume) mwenye umri wa miaka 15. Taarifa zinaeleza kuwa kikundi hicho kilifanya tukio hilo kwa kumfungia mwenzao huyo ndani ya chumba, wakamyanyasa...
  11. SYLLOGIST!

    Trump awajibishwa kwa kashfa ya unyanyasaji wa kingono, Kumlipa E. Jean Carroll $ 5 milioni

    federal jury in New York found former President Donald Trump liable for battery and defamation in a civil trial stemming from allegations he raped the writer E. Jean Carroll in a department store dressing room in the mid-1990s. She was awarded $5 million total in damages. The jury, made up of...
  12. sajo

    Je, Unajua kuwa kutikisa makalio kwa lengo la kumtega mtu ni unyanyasaji wa kingono? Jifunze hapa juu ya unyanyasaji wa kingono

    UNYANYASAJI WA KINGONO NA RUSHWA YA NGONO Kumekuwa na tabia isiyopendeza katika jamii hususani mahali pa kazi ambapo baadhi ya waajiri au mameneja wa waajiri wamekuwa na tabia ya kuwanyanyasa kingono na kuwaomba rushwa ya ngono wafanyakazi walio chini yao au watu wasio wafanyakazi wanaoomba...
  13. JanguKamaJangu

    Rais wa Soka Ufaransa ajiuzulu baada ya ripoti mbaya ya ofisi yake na tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Noel le Graet (81) amechukua maamuzi hayo baada ya French ripoti kubainisha kuwa kuna "uchafu'' ndani ya Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) licha ya kuwa muda wa kukaa madarakani ilikuwa hadi Mwaka 2014. Kabla ya kuchukua uamuzi huo kiongozi huyo alijiweka pembeni kwa muda wakati Serikali...
  14. Suley2019

    Kesi ya unyanyasaji wa kingono ya Mason Greenwood yafutwa

    Mason Greenwood ameondolewa mashtaka yote yaliyokuwa yanamkabiri ikiwemo unyanyasaji wa kingono dhidi ya aliyekuwa Mpenzi wake. Taarifa kutoka Polisi wa Greater Manchester ni kuwa hawatotoa maelezo mengi zaidi licha ya kuwa kesi hiyo ilikuwa na mvuto kwa Media lakini kujiondoa kwa Mashahidi...
  15. BARD AI

    R. Kelly afutiwa mashtaka 10 ya Unyanyasaji wa Kingono yaliyopaswa kusikilizwa leo

    Mwimbaji Nyota wa R&B kutoka kutoka Chicago, ameondolewa mashtaka ya Jinai kuhusu Unyanyasaji wa Kijinsia yaliyotakiwa kusikilizwa Mahakamani leo January 31, 2023. Umuzi huo umetokana na kifungo cha miaka 30 ambacho Kelly anatumikia baada ya kupatikana na hatia katika kesi nyingine za Ulanguzi...
  16. BARD AI

    Zambia kuchunguza madai ya unyanyasaji wa kingono kwenye timu ya taifa ya wanawake

    Shirikisho la Soka (FAZ) limechukua hatua hiyo kufuatia shutuma zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa baadhi ya wachezaji walichaguliwa kucheza Timu ya Taifa baada ya kulazimishwa kushiriki vitendo vya ngono na benchi la ufundi. Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo Adrian Kashala amesema wameandika...
  17. JanguKamaJangu

    FIFA yamfungia Afisa wa soka Zimbabwe kwa unyanyasaji wa kingono kwa waamuzi wa kike

    Afisa wa Chama cha Soka cha Zimbabwe (Zifa), Obert Zhoya amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka kwa muda wa miaka mitano na faini ya Dola 20,300 kwa unyanyasaji wa kingono kwa waamuzi wa kike Adhabu hiyo imetolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya kumkuta na hatia Zhoya...
  18. USSR

    Serengeti: Amuingizia mkewe panga sehemu za siri

    Jeshi la polisi mkoani Mara limekiri kumshikiria Gimusi Murimi 42 mkazi wa wilaya ya Serengeti kwa kumjeruhi mkewe kwa kumuingizia panga sehemu za siri kwa kumtuhumu kuchepuka wakati yeye akiwa hayupo nyumbani. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mara RPC Tibishubwamu amesema mtuhumiwa huwa anaishi...
  19. JanguKamaJangu

    Muandaaji wa Miss Rwanda akamatwa kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Muandaaji wa mashindano ya urembo Nchini Rwanda ambaye pia ni mwanamuziki wa zamani anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono. Dieudonne Ishimwe ‘Prince Kid’ alishikiliwa na Idara ya Upelelezi ya Rwanda (RIB), Aprili 26, 2022. Ofisa Msemaji wa RIB, Thierry Murangira...
  20. Frumence M Kyauke

    Mada maalumu kwa wahanga wa unyanyasaji wa kingono

    Swali Je kwanini idadi ya kesi za kulawitiana inaongezeka? Nini sababu inayowapelekea watu kulawitiana?
Back
Top Bottom