Muandaaji wa mashindano ya urembo Nchini Rwanda ambaye pia ni mwanamuziki wa zamani anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono.
Dieudonne Ishimwe ‘Prince Kid’ alishikiliwa na Idara ya Upelelezi ya Rwanda (RIB), Aprili 26, 2022.
Ofisa Msemaji wa RIB, Thierry Murangira...