Mwimbaji wa Marekani R Kelly amepatikana na hatia ya kutumia hadhi yake ya kuwa nyota wa muziki wa R&B kuendesha mpango wa kuwadhulumu kingono wanawake na watoto kwa zaidi ya miongo miwili.
Walalamishi 11, ikiwemo wanawake tisa na wanaume wawili, walitumia wiki sita kuelezea udhalilishaji wa...