Jopo la Mawakili wa P Didy wamepambana kuomba dhamana waliomba kuweka dhamana jumba lake la kifahara lenye thamani ya zadi ya bilioni 50 pamoja na ndege yake binafsi lakini Mahakama imekataa kumpa dhamana kwa kigezo kuwa anaweza kutumia uwezo wake kuharibu mchakato wa upatikanaji wa haki...
Wakati dunia ikiwa busy kujiuliza kwanini P Diddy alikutwa na chupa takriban 1000 za mafuta ya watoto kipindi anakamatwa na FBI, mwanasheria wa msanii huyo amejitokeza hivi karibuni kujibu tuhuma hizo.
Akizungumza na TMZ, Marc Agnifilo alisema kuwa Diddy ana nyumba kubwa kwa hivyo ananunua vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.