Huyu boss nahisi ana pepo wachafu. Issue ilikiwa hivi, tarehe 19 aliniita ofisini kwake, akasema anataka tufanye mahesabu ya madai yangu yote.
Tulipomaliza kufanya mahesabu, akanipa mshahara wangu na kuniambia akinihitaji ataniita. Kwa kuwa nililetwa hapo na mwenye kampuni, naye alikuwa...