Wakuu,
Nini kifanyike mbona haya mambo yanazidi sana? Ni kwamba wanaume tumezidiwa sana na ugwadu au ni madomo zege sana hatuwezi kutongoza siku hizi? Au shida ni nini? Au ushirikina!
----
Olomi inadaiwa kabla ya kujiua, mke wake alimfumania akimbaka mjukuu wake, hivyo alipiga yowe kuomba...
Tanzania, kama taifa, kuamini kwamba tunawapenda watoto wetu, tunazidanganya nafasi zetu, ukweli hatuwapendi.
Kuna matukio mengi yenye kuthibitisha kuwa hatuwapendi watoto wetu, ama viongozi wa taifa hili hawawapendi watoto wa wanaowaongoza maana wao wa kuwazaa hawapitii mapito ya wale wanao...
Kama mjuavyo sisi wanaume mara nyingi ni kuamka asubuhi na mapema na kuondoka, na kurudi ni usiku, muda ambao Mimi nashinda nyumbani ni Jumamosi na Jumapili.
Usiku wa kuamkia Jana alhamis mtoto wa marehemu dada yangu alianza kulia sana chumbani, akalia sana mpaka ikabidi niamke niende chumbani...
Unyanyasaji kwa watoto ni tatizo ambalo la weza sababishwa na mtu mzima au mtoto kwa mtoto linalomfanya mtoto athirike. Laweza kumuathiri mtoto kimwili, kihisia, kingono. Pale tunaposhindwa kuwatimizia watoto mahitaji ya msingi hupelekea unyanyasaji kwa watoto ambalo ni tatizo linaloongezeka...
Wakuu,
Una jirani, rafiki yako au hata ndugu mnaoishi karibu na mtoto wako alikuwa hana mazoea ya kwenda huko lakini ghafla amekuwa habanduki kwa jirani huyo mzazi shtuka. Na kinyume chake vile vile, mtoto wako alikuwa anapenda kwenda sehemu fulani kucheza lakini ghafla haendi huko na unajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.