Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amewataka wanawake kutokubali vipigo na manyanyaso katika ndoa kwa kisingizio cha uvumilivu.
Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani yaliyofanyika kimkoa katika Kijiji cha Hydom, Wilaya ya Mbulu, Sendiga amesisitiza kuwa si kila jambo...