Ushahidi katika kesi Namba Cc.5866 /2024 inayomkabili Baraka Benedicto (23) anayedaiwa kumlawiti mtoto wa Kiume umehitimishwa rasmi Machi 7, 2025 baada upande wa Mshtakiwa kukamilisha utetezi wake.
Akizungumza mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni mara baada ya mshtakiwa kuhitimisha...