Wakuu,
Huu msemo wa adui wa Mwanamke ni Mwanamke tunaushuhudia sana mtandaoni
Yaani Mdada akipost kavaa kakimini kake sjui, mwenzie ndo atakuja kumwambia "Unavaa hivyo na vimiguu kama unacheza Judo"🤣🤣🤣🤣
Hawana huruma hata kidogo. Jamani huu ni unyanyasaji, unaitwa Body Shaming
Lakini wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.