Adui namba moja wa mwanadamu ni "Sifa"
Sifa ni neno dogo lenye herufi nne, lakini limeumiza, limeangamiza, limeua na limepoteza haiba, roho, nafsi, karama, vipaji na uwezo wa wanadamu wengi sana duniani.
Bila shaka wahenga walijua madhara na athari za sifa, wakaonya kuwa "mgema akisifiwa tembo...
Heri Wana Jukwaa na Hongera Kwa majukumu ya leo. Nilipata nafasi kuungana na watanzania na wafiwa katika kumuaga Mhe. Mafuru (Late).
Baada ya jambo Hilo kwisha na viongoz wakuu kuondoka nani nikajitokea mdogo mdogo nikawa nawaaga wajasiria Mali waliokuwa wakiuza leso na maji pale getini...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiachana na uchapakazi , uzalendo na kubadilika kulingana na Mazingira kwa Mheshimiwa Jenista Mhagama.
Lakini ukweli unabakia kuwa heshima na unyenyekevu wake ni miongoni Mwa vitu vinavyomfanya kujenga ushawishi kwa kila Rais anayeingia Madarakani kumuweka katika...
Wasalaam
Kwa jinsi police wanavyojituma kukamata viongozi wa upinzani na kuwafungulia kesi mbalimbali ni dhahiri wanalipwa pesa nyingi sana na serikali ya ccm. Naomba kwa mwenye kujua anijuze hawa wana usalama wa ccm wanalipwa kiasi gani kwa mwezi?
Habari wakuu I real hope you are doing good
Nimekua nikijiuliza kwanini mtu anapoenda mgahawani kuomba huduma ya maji ya kunywa pasipo kuitaji hudumu upata mapokezi mazuri hita pale ambapo mmiliki wa mgahawa anapokua na mauzo yasiyoridhisha
Hii imekaaje ndugu zangu?
Nilimsika Padre mmoja jumapili tatu zilizopita akihubiri juu ya suala zima la wito, yalikuwa ni mahubiri ya kina ambapo aliamua kufundisha kuhusu wito na michakato yake maishani.
Padre yule alielezea kuwa adui wa ajira nyingi za watu mbalimbali ni ukosefu wa sifa ya unyenyekevu katika maisha...
Mheshimiwa Rais, suala la Mkataba wa Bandari limefichua nyufa kubwa za Taifa letu hasa katika suala la Dini, Muungano, Ukabila, Ukanda, Jinsia na Itikadi za Siasa. Sasa naomba nikushauri kwa unyenyekevu mkubwa epuka mtego wa wasaidizi wako hasa huu wa kukamata watu na kuwaambia ni wahaini.
Huu...
Fikiria mtu ana Ulinzi kila sehemu, misafara gari kibao (wakat mwingine mpaka helikopta), Afya check-up Ulaya, anakula chochote anachotaka Ila kifo kinakata hizo mbwembwe zote ndani ya sekunde chache. Tukanyage Ardhi hii Kwa adabu na UNYENYEKEVU. Pia tumche MOLA na tuheshimu binadamu wenzetu...
UNYENYEKEVU SIO UTUMWA, UNYENYEKEVU NI BUSARA KATIKA UONGOZI; MSIZARAU SAUTI ZA WATU, MSIZARAU VILIO VYA WATU, WASIKILIZENI
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Katika makala hii tutaangazia kauli ya ndugu G. Lema (2023 Jun 19), ambaye alisema "Unyenyekevu sio utumwa, unyenyekevu ni busara katika...
Zipo picha nyingi za ikulu ile ya awamu ya kwanza. Huwa zinatukumbusha mambo mengi, yakiwemo mazuri na mabaya pia. Ni kumbukumbu zinazotunzwa ili angalau ziwaonyesha watoto na wajukuu ule utamaduni mzima wa uongozi wa awamu ya Mwalimu Nyerere ulikuwa vipi.
Ipo picha ya Mwalimu akiendesha...
Nimekumbuka vitu kadhaa leo ngoja nijitahidi kuandika japo sio mwandishi mzuri sana.
Kunawakati tunapitia vitu vingi na tunakutana na watu wengi tofauti tofauti kwenye maisha wenye kutufurahisha na kutukwaza lakini tujitahidi kujifunza ustaarabu na unyenyekevu hasa tunapokwazika inawezekana...
Shortly,
Tumesikitishwa sana na hawa vijana wenzetu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walioamua kuidhalilisha taasisi nyeti ya Urais Tanzania huenda kwa kujua au kutokujua,
Nikweli, Tunafahamu Rais hufanya UTEUZI kwa mtu yeyote anayedhani anaouwezo wa kumsaidia katika kutekeleza majukumu yake ya...
UTANGULIZI
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu kwa pumzi na uhai anaozidi kunikirimia katika maisha yangu yote. Pia nawaombea uzima na afya njema jopo zima la JF kwa kuweka jukwaa wazi kwa umma na hasa katika kuhaikikisha ajira kwetu Watanzania. Nawaombea afya njema na uzima waandishi wenzangu...
Hakuna kinacho dumu milele. Haijalishi ataishi kwa muda gani, Simba Mkuu hatimaye atakufa vibaya.
Hiyo ndiyo dunia.
Katika ujana wao, wanatawala, wanafukuza wanyama wengine, wanakamata, wanakula, wanameza na kuacha makombo yao kwa fisi. Lakini umri huja haraka siku hazigandi.
Mzee Simba hawezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.