Najaribu tu kuwaza,kwamba Klabu ya simba inalipa wachezaji, benchi la ufundi, n.k mamilioni ya pesa,ina mdhamini wake ni tajiri kabisa hapa Afrika lakini leo nimepigwa na bumbuwazi bada ya mambo kuwa wazi kwamba msemaji mkuu wa simba analipwa hela ndogo ambayo hailingani na hadhi na mchango wake...