unywaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Unywaji wa mafuta gari ndogo

    Gari nyingi kama 1st, vitz ,ractis na gari zingine ndogo Kiupande wangu gari ndogo nimeendesha na kumiliki kama tatu ractis vits na ist kwa kipindi tofauti ila utofauti na watu wanavosema hazinywi mafuta au kama google wanavosema au madalali wanavouza gari wanavozisifia zinatembea mpaka km...
  2. Dr Luu

    Unywaji wa maziwa ya ng'ombe hauna tija na afya yako (African and Asian)

    Habari wakuu, Kama kichwa habari kinavyo eleza ya kuwa waafrika na waasia hawawezi kunufaika kiafya kwa kunywa maziwa. Kwa utafiti uliofanywa na chuo kikuu Cha Cornell kimegundua ya kuwa watu wengi -- kama asilimia 60 na hasa wale wenye asili ya Asia na Afrika -- wanaacha kuzalisha lactase...
  3. F

    SoC04 Tuhamasishe unywaji maziwa ili tukuze uchumi

    Nchi ya Tanzania imebarikiwa vivutio vya asili ikiwemo mbuga, mito na kadhalika. sekta ya mifugo ni mojawapo ya sekta ambazo huwa zinachangia kwa kiwango kikubwa sana katika maendeleo ya uchumi wa Tanzania. kwa mujibu wa shirika la kimataifa la kilimo na chakula duniani(FAO) Tanzania ni ya tatu...
  4. G

    Unywaji pombe salama na bora kiafya

    Naomba kujua unywaji pombe salama na bora kiafya ni kiwango gani kwa siku? Bia ni kiasi gani na pombe kali konyagi au K.VANY ni kiasi gani? Wadau naomba kujuzwa kiwango sahihi kwa siku.
  5. N

    Waziri Ummy ataadharisha unywaji wa pombe uliokithiri unavyochangia ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza nchini

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kuwa unywaji wa pombe nchini unazidi kukithiri licha wastani wa wanaokunywa kupungua kutoka 26% mpaka 20%, hali ambayo amedai kuwa imekuwa ikichangia angezoko la magonjwa yasiyoambukiza. Akizungumza leo April 23, 2024 alipokuwa akifungua mkutano wa kujadili...
  6. Kifurukutu

    SI KWELI Unywaji wa pombe Kali kama konyagi na K Vant huongeza nguvu za kiume

    Habari Jamiichek Kwa muda sasa katika Jamii yetu ya Kiswahili kumekuwa na hii nadharia kwamba mwanaume akitumia pombe Kali Aina ya konyagi au k vant halafu akaenda kufanya mapenzi, hutumia muda mrefu Sana kufika mshindo kitu ambacho inasemekana kinaridhisha wanawake kiurahisi. Huku mitaani...
  7. B

    Aisee kumbe Unywaji wa Pombe unaleta Raha namna hii?

    Ndio maana wanywaji wengi wanafanikiwa na hawapungukiwi. Yaani utakuta Mtu yuko chakali kila siku na sio kwamba ana michongo mikali sana wala nini. Ni kupitia kanuni ile ile kwamb Wanywaji hawapungikiwi. Hata kama hana kitu bado ana matumaini ya kupata. Ukinywa Pombe hakuna usumbufu...
  8. F

    Zifuatazo ni nchi zilizokubuhu katika unywaji wa pombe Afrika; angalia nafasi ya Tanzania, East African Community yatia fora

    Below are African countries with the highest beer consumption per capita: Rank Country Beer Consumption per capita Global Rank 1 Namibia 95.5 L 6 2 Gabon 67 L 25 3 South Africa 60.1 L 28 4 Democratic Republic of the Congo 54.8 L 35 5 Kenya 12 L 52 6 Tanzania 8 L 57 7 Uganda 6 L 58
  9. Dr Kelvin

    SI KWELI Unywaji wa Bia kwa wingi kwa mwanaume hupelekea kuongezeka kwa homoni za kike, na mwisho husababisha ugumba

    Je, Kuna ukweli kuwa unywaji wa Bia kwa wingi kwa mwanaume hupelekea kuongezeka kwa homoni za kike, na mwisho kupelekea mwanaume kupata ugumba? Video inayozungumziwa (Chanzo: Times FM) Picha ya Mwanaume aliyelewa pombe (Picha: Adobe Stock)
  10. Papaa Mobimba

    KWELI Unywaji wa pombe kwa mjamzito unaweza kupelekea changamoto kwa mtoto atakayezaliwa

    Bado nipo njiapanda, nimesikia kuwa mwanamke mjamzito akinywa pombe kwa kiwango kikubwa wakati wa ujauzito basi huweza kusababisha changamoto kubwa sana kwa mtoto. Kuna wajawazito kadhaa nimepata kuwaona wakinywa pombe tena kali sana lakini hizo changamoto kwa watoto wao sijaziona. Baadhi ya...
  11. Heci

    Ukifikia kiwango hiki cha unywaji, utakuwa ni mlevi uliyekubuhu. Badilika 2024

    HUYU NDIE MLEVI!!!!!: 1,Akipata kazi ANALEWA 2,Akifukuzwa kazi ANALEWA 3,Akioa ANALEWA 4,Akiachika ANALEWA, 5,Akifurahi ANALEWA, 6,Akichukia ANALEWA 7,Akipandishwa cheo ANALEWA, 8,Akishushwa ANALEWA 9,Akijenga nyumba ANALEWA 10,Akinunua gar ANALEWA 11,Akipata ajali ANALEWA, 12,Akimpata mtoto...
  12. kyagata

    Nataka kuachana na unywaji wa pombe, lakini sijui naanzia wapi

    Hello JF Kama kuna mtu anaweza kunisaidia abc za namna ya kuacha unywaji wa pombe anisaidie tafadhali maana kila nikijaribu nakaa siku mbili narudia...
  13. Pang Fung Mi

    Tujuane tunaokunywa crate zima la bia

    Hello JF Kama utani yaani mimi nakunywa crate zima la bia seriously? Hakika hakuna linaloshindikana chini ya jua, mimi Wadiz namaliza crate zima na silewi hata,🤣🤣🤣. Naomba wale tunaomuda kukata bia crate zima tukutane kwa shuhuda zetu na aina ya bia unayoipenda. Wadiz
  14. Bushmamy

    Unywaji wa vinywaji hivi nini matokeo yake miaka 10 ijayo?

    Miji mingi yenye hali ya hewa ya joto wengi tumeshuhudia. Matumizi makubwa ya soda na vinywaji vya energy. Baadhi ya watu hutumia soda hadi tatu kwa siku pamoja na vinywaji vya energy, na wengi wao wanakuambia hawawezi maliza siku bila kunywa soda/energy Wengi wa wanaofanya kazi juani muda...
  15. Sildenafil Citrate

    KWELI Mlevi wa kupindukia akisitisha ghalfa unywaji wa Pombe anaweza kupoteza Maisha

    Mdau mmoja wa JamiiForums ameelezea kuwa watu wanaokunywa pombe kupita kiasi (Ulevi uliopindukia) wakiacha ghafla matumizi ya pombe wanaweza kufa. Mdau huyu anaeleza kuwa pombe hupunguza utendaji wa akili kama yalivyo madawa mengine ya kulevya, pia huleta uraibu na utegemezi. Amewashauri...
  16. G

    Ilitokeaje mpaka makanisa yanaruhusu unywaji pombe wakati inaleta majaribu ya kutenda dhambi zaidi na kukusogeza karibu na ulevi?

    Habari zenu ndugu zangu, naombeni ufafanuzi Mungu alishakataza pombe agano la kale na hata Yesu katika ile sala ya baba yetu ulie mbinguni kuna sehemu ya kuomba tuepushwe na majaribu ili tuepuke uovu. Sasa inakuwaje tena kwamba hii pombe inabidi tuwe wanywaji na sio walevi? Pombe ni dawa ya...
  17. NetMaster

    Kama tunamuomba Mungu atuepushe na majaribu ni kwanini aliruhusu unywaji wa pombe ambao umefanya wengi kuwa walevi?

    Wasabato mkae pembeni hili haliwahusu Sijawahi kuelewa hata kidog haya mambo ya unywaji na ulevi, huwa naonaga ni kama tiketi tu ya kuhalalisha ulevi. Kama ni mlevi ama uliwahi kuwa mlevi wa sigara, bangi, pombe, ngono zembe, kamali, n.k. basi unajua fika kwamba siku ya kwanza huwa ni kujaribu...
  18. Crocodiletooth

    Ipo haja sheria za unywaji pombe bar zirekebishwe

    Leseni zinasema bar ifunguliwe saa 10 jioni mpaka saa 5 usiku kwa siku za J3-Ijumaa na Jumamosi na Jumapili saa 8 mchana mpaka saa 6 usiku. Nashauri leseni ziruhusu kunywa pombe masaa yote Isipokuwa kwa staha maalumu, namaanisha kwa masaa kabla ya saa kumi pombe zinywewe ndani ya bar au mahala...
  19. BARD AI

    Serengeti Breweries kudhibiti wanywaji wenye umri mdogo

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye kundi la watu wenye umri mdogo wanaotumia pombe kwa kiwango kikubwa, wakiwamo wanafunzi. Hivyo, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imezindua programu ya kupambana na unywaji pombe kwa watu wenye umri mdogo, ikilenga kudhibiti tabia hiyo. Utafiti...
  20. P

    SoC02 Unywaji holela wa dawa bila kupewa maelekezo ya Daktari

    UNYWAJI HOLELA WA DAWA BILA KUPEWA MAELEKEZO YA DAKTARI Dawa mtu hupewa baada ya kugundulika kuwa ana ugonjwa fulani au ana dalili za ugonjwa fulani, baada ya kumuelezea daktari kwa undani na kufanyiwa vipimo kutokana na dalili alizozisema ila siku hizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la unywaji...
Back
Top Bottom