Dkt Omar Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za magonjwa yasiyo ya kuambukiza amesema kwa Wastani, kila Mtanzania anatumia lita 9.1 ya pombe kwa mwaka, sawa na ndoo ndogo ya maji, Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unywaji wa pombe katika Bara la Afrika...