Habari za wakati huu wana JF,
Samahani nitaenda haraka kidogo na kwa ufupi.
Niko Mubashara muda huu hapa kupitia TBC1 kuna mkutano wa hadhara unafanyaka jijini dar es saalam,kati ya Wafanyabishara na Mhe.Waziri mkuu Kassimu Majaliwa.
Niende kwenye hoja,hoja yangu ni mpka saaa nimemsikilia...