Serikali kupitia Shirika la Wakala wa Meli nchini (TASAC), imeeleza kuwa inatarajia kujenga vituo vya uokoaji katika Maziwa Makuu nchini ili kusaidia katika tahadhari na uokoaji pindi yanapotokea majanga kwenye vyombo vya usafiri wa majini.
Mwenyekiti wa Bodi ya TASAC, Kapteni Musa Hamza Mandia...